Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
We will give Koeman another reason to hate us the most after THRASHING his Everton side...!
Nafurahi msimu huu depth ya kikosi chetu ipo vizuri sana...
Pulisic anaipenda manureYeah, but nadhan January tunaweza kuongeza Left back, na left sided Winger (Pulisic maybe?)
Mkuu hadi Fabregas ni average player?
Pulisic anaipenda manure
Hahaaaa uliona reaction yake kwenye goli la Hendo the capt one of the magnificent goal this season (sorry Hendo you prove me wrong day after day)
Apart na kina Gin, Lallana .... Matip he did the best huyu jamaa sikuwahi mzania kabisa kama atakuwa hivi.

PR itakayopigwa na LFC kuhusu Hendo hii week itakuwa ni balaa.
Glad he scored though..
Hendo ana siku zake
Kuna games nyingine utamchukia
All in all I'm happy for him for what how he played last night
Ynwa
Yeah, to be honest, Amecheza vizuri tangu ile game ya Spurs mpaka Jana.
Mwaka wako huu jidai babaHahaaaa uliona reaction yake kwenye goli la Hendo the capt one of the magnificent goal this season (sorry Hendo you prove me wrong day after day)
Apart na kina Gin, Lallana .... Matip he did the best huyu jamaa sikuwahi mzania kabisa kama atakuwa hivi.