FA is full of Scums supporters, they hate us..kina Clarke, Gill, Glenn, Nixon etc, bunch of hypocrites. Tulikuwa inches away kushinda league title na RB..but shit happens. We move on.
Yeah, RB loves football and he loves LFC, family yake yote ipo Liverpool, hajawahi kuihamisha hata siku moja. FSG wanted him back mara kibao, but "wazee wa LFC" walikuwa hawamtaki, na waliogopa kuidivide fanbase..manake mpaka sasa kuna pande mbili, kuna wale waliobaki loyal kwa RB, na kuna wale ambao PR za Hicks na mwanzake ziliwaingia kisawasawa na kumuona RB hafai, sad part ni kwamba Carragher na SG wana mkono wao kufukuzwa kwa Benitez. But uzuri ni kwamba Benitez hajawahi kumchukia SG, na nadhan SG played his best football akiwa chini ya RB. SG alikuwa manipulated na Carragher mpaka akaingia kwenye huo mkumbo.
But its all good now..kila mtu alimove on. Benitez is doing well and fine na Newcastle kwenye Championship..huwa haogopi challenges. Ndo maana alikubali kazi ngumu ya kuicoach Newcastle.
He told LFC to sign Coutinho (hii ni baada ya kuondoka Inter), wakat yupo Chelsea kipindi kile alituuzia Sturridge and Now katupa Wijnaldum.