Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ndiyo Unashangaa Nini? Point 1 kwa Away Game Ni Advantage au Hujui Hilo?? Na Point 1 kwa Home Game (Spurs) ni Kuoshwa huko au Hujui Hilo??

Nafikiri Soon After Xmass Wambea Wote Hili Jukwaa Wataliona Kituo Cha Polisi Manake Mutalikimbia Nyote
duuuh ushaanza kuwaza ubingwa yani mara hii umewasahau Burnley
 
zamu gani mkuu wakat mm nipo level nyingine ambazo kwa ww kuzifikia ni baadae sana

Wewe Kweli Limbukeni!!!! Hivi Kwatika Sayari Hii Ni Level Gani Ya Soka na Makombe Liverpool Aliyokuwa Hajaifikia??? Hivi Wewe Mpira Umependa Lini?? Manake Huyo Mbabe Wa Dunia Real Madrid Kwa Liver Ni Uji na Mgonjwa Mana Walifungwa Mpaka Dosena Mcheza Charanga, na Na Yule Myahudi Benayoun! Bila Ya Kusahau Kuwa Tuliwadonoa Finali Kagoli Kamoja Tukanyanyua Champion League! Kwahiyo Anaesubiri Aifikie Level Yenu Labda Arsenal, Chelsea na Man City Coz Ndiyo Timu Zisokuwa Na Historia Ya Kutambulika
 
Derby yetu na The Ev itakuwa ni moto wa kuotea mbali this season. Naona The ev wana team nzuri kiasi..midfield yao ni nzuri pia, Gueye na Barry. Na wana kocha mzuri sana Koeman and he hates Liverpool fc.

Cant wait.
lol! am still loading.... waiting for it nahisi ntatakasika mno tukiwapiga
 
Yah! Ni Ligi Ya Kuviziana Kweli Manake Kocha Yoyote Aliyezoea Liki Ya Spain Timu ni 2 waliobakia Magarasa! Mfungaji Bora Anafunga Goli 40 utafikiri Mpira Wa Kikapu! Basi Ligi itamshinda!!
Hii Ni Ligi Ya Wanaume Haina Kibonde Cha Kuzarau

Goli 40?
Hiyo ligi naangaliaga el Classico tu
Sipotezi muda wangu kuangalia upuuzi wa akina Osassuna sijui akina Bilbao
Uko sahihi mkuu
Huyo jamaa kafuata nini Hapa the Kop? Angeenda kujadili ligi yake Ya mpira wa vikapu aka La Liga
 
Msisahau kuwa we have GRUJIC, and he's yet to EXPLODE.
Hahaaaa uliona reaction yake kwenye goli la Hendo the capt one of the magnificent goal this season (sorry Hendo you prove me wrong day after day)

Apart na kina Gin, Lallana .... Matip he did the best huyu jamaa sikuwahi mzania kabisa kama atakuwa hivi.
 
1474101860998.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom