Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sakho na Matip waanze kama beki chaguo la kwanza wa kati
Can aanze pia
Nina hakika tutapata clean sheet
AIBU SANA kushindwa kupata clean sheet kwa low budgeted team kama Burnley

Sakho namba yake anaivaa klavan, nafikiri klop hana mipango nae
 
Sakho namba yake anaivaa klavan, nafikiri klop hana mipango nae
Tulimlaumu Moreno bure tu game ya kwanza
Leo Moreno hakuanza tukapigwa bao 2 kama za UMISETA
Gray na Vokes wanaondoka nao tu mpira wanageuka wanapiga
Hata Yanga na Canavaro wao wana defend vizuri kuliko sisi
 
Haya mambo haya! ESPN wameweka picha ya Klopp imenibidi nicheke tu pamoja na kuwa nina machungu!
 
Sakho na Matip waanze kama beki chaguo la kwanza wa kati
Can aanze pia
Nina hakika tutapata clean sheet
AIBU SANA kushindwa kupata clean sheet kwa low budgeted team kama Burnley
Mkuu huku ni kupanic tu yani timu ibadilishwe kila siku?Sioni kama mabeki leo wamecheza vibaya kiasi cha kuwaspacegoat..Timu ilikuwa haiunganishwi na viungo...mpira ukipotea mbele moja kwa moja kwa mabeki.Midfield yetu haiwafanyii shielding mabeki kabisa.

Attacking yetu ilikuwa poor sana leo.Nadhani inabidi kuwa na variuos approaches of the game.We cant always use the pacing style of attack regardess of the opponent.Kwa timu ambazo hazifunguki,zinajilinda sana na kushambulia kwa kujihami kwa style yetu ni kazima tufungwe magoli marahisi ya transition.
Na hili wala sio jipya.Last season timu nyingi za aina hii zimetupa tabu sana.Mechi nyingi ambazo tulicheza bila kustruggle ni against timu kubwa zinazocheza kwa kufunguka

So lets stop spacegoating individuals.We will be changing the victims everyday we get defeated.Our approach fails us.Coach has to do something about it .We cant penetrate the solid disciplined defence...
 
uploadfromtaptalk1471710915028.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom