Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,160
- 17,061
Two down. Counter attack la maana. Liver 0 burnley 2.
Kazi imeshakuwa ngumu. Dk 39
Kazi imeshakuwa ngumu. Dk 39
Huyu sturadge yupo slow sana
Daaahtujitaarishe kumfuata benitez alipo! mpira sio touch kuna game za touch zengine mabavu kama hujui timu na timu unaziingia vipi tutapigwa ubaya kila siku. Quality ya championship hii!
nashindwa kuelewa kwa nini wako slow hivi.tatizo la liverpool ni kubwa kuliko kawaida