Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

uploadfromtaptalk1471711108763.jpeg
 
Inauma sana wadau wenzangu kuna game nyingine waweza ogopa kubet Ila sio kma hizi zakuamini ushindi alafu inakula kwetu
 
Aliye turoga Nae kalogwa katusahau asee kwahyo hapa kazi tunayo pia
klop anajua namna ya kumtetea moreno maana Leo angeanza hata carrager akianza kutoa maneno ya shombo mapema
Ila kwakua magoli yote wamechomesha waingereza basi carraga ana act amekufa
 
Huyu klop ananifanya nakosa usingizi, DS hata pre season hakucheza alfu unamuwacha hadi dk 75 ni upumbav.u. amre can ana tatizo gani la kukaa benchi
 
Kabisa mkuu, hii ya leo ni kama timu haijuani kabisa. Hivi DS ana tatizo gani?
Hendo ni jipu na DS nilikuwa simuelewi ni MF au striker. Piga bench hawa Can lazima acheze na lazima tuwe na plan B. Leo pass nyingi side pass yaani tulikuwa slow sana. Klopp please piga bench au uza hao Hendo na DS.
 
Huyu klop hii timu itamshinda, msimu uliopita hizi timu ndogo ndio tulifungwa sana, na hii rotation yake itamponza, unamuwachaje can nje, unamuwachaje orig unamuweka DS
 
Mimi mpaka leo huwa ninjiuliza! Hivi kuna sababu gani Mpaka leo ya Kumbakisha Hendo Kuwa ni Team Captain?
Au Kwa Sababu ni Mbritish!!!

Huyu Jamaa Kwakweli Hadeserve kabisa Kucheza Timu Kama Liverpool.
Na Defence Line Yetu Kwakweli Ni Dhaifu Sana Kiasi Ya Kwamba Mashambulizi Mawili kwa Magoli Mawili, Lovren Katika Upatikanaji Wa Magoli Yote Mawili Kashindwa Kumcharge Mtu Kiasi Ya Kwamba Goli La Kwanza Jama Anazunguruka Anautengeza Mpira na Anashot Yeye Anamuangalia tu, Na Goli la Pili Gray Anakimbiza Mpira, Yeye Badala Ya Kucharge Mpira Kutoka Adui! Basi Anakimbia Kwa Kurudi Nyuma Mpaka Anamuingiza Ndani Ya Box.

DS Udhaifu Wake Ni Mkubwa Kuliko Tunavyofikiria, Yeye Akiwa Kama Striker Alishindwa Kuinesha Uwezo Wake, Aliziuwa Pasi Za Mwisho Zilizopenyezwa na Cout & Fami. Alishindwa Kumiliki Mpira Miasi Ya Kwamba Akiunasa Kaupoteza.

Na DM yetu huyu Wijna Anashindwa Kublock Movement Yoyote Ya Adui, Yeye Ni Kiungo Mkabaji (DM), Lakini Utamkutia Anauwezo Wa Kuwa Mchezeshaji Zaidi (CM) Kuliko Kukaba! Sasa Ndiyo Maana Safu Yetu Ya Ulinzi (D) hasa wale (CB) wanaonekana Kuwa Uwezo Wao Ni Mdogo Sana Kwasababu Wijna (DM) hana uwezo wa Kuwalinda ama Kuwasaidia, Shambulizi Linatokea Kwenye Penalt Box la Wapinzani, Linapita Katikati Ambapo Hendo (CM) hana Uwezo Wa Kuichezesha Timu, Linapita Kwa Wijna (DM) Ambaye Hana Uwezo Wa Kuharibu Move na Kutengeneza Yetu, Hatimae Inapelekea RB, LB & CB kupoteana Na Kufungwa Kiulaini.

Sasa Timu Yetu Kiukweli inahitaji Mabadiliko Ya Lazima Sehemu 4.

1) Half Back 4: Kwasababu Lovren Bado Ni Tatizo
2) Full Back Left: Kwasababu Milna Anauwa Mashambulizi Yetu Ya Kushoto Kwa Kutokuwa na Uwezo Wa Kupanda Na Kushuka.
3) DM (Kiungo Mkabaji): Kwasababu Wijna Anaruhu Mashambulizi Mengi na Kuwapa Kazi Mabeki, Hawezi Kublock Mashambulizi.
4) CM (Kiungo Wa Kati/Mchezeshaji): Hili Ni Tatizo Kubwa Sana Kwasababu Hendo Hana Sifa Kabisa Ya Kuwa CM, Anashindwa Kuchezesha Mpira na Kutengeneza Nafasi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom