The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
Unapocheza Against timu yenye Physicality kama Burnley,Leicester,Hull,and the like unatakiwa kuwa na wachezaji wenye physical PIA.....na bahati nzuri...leo hata Mane asingefanya lolote...angepata wapi nafasi ya kukimbia? Game ya Leo huhutaji kuwa na Lallana,Coutinho wala Firmino kwenye team...
badala yake unatakiwa kuwa na Grujic,Can,Hendo
Milner will never be a LB
badala yake unatakiwa kuwa na Grujic,Can,Hendo
Milner will never be a LB