Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

huu mpira LFC mbovu soft touch hizi watu wanaongelea Arsenal beki mpaka sasa ni sie hasa Moreno utumbo, Goli limetokana na Lallana na turn zake ila mpira unataka nguvu pia na akili hatuna majembe kabisaaaa tuna touch players ambao soft! Klopp halftime atamtabdika mtu makofi.
 
Wenger ameshika kiungo, kama tunataka matokeo hapo atoke henderson aingie Can na Lallana origi na kuchenji mfumo
 
Coutinhoooo!!!!!!!, probably the best goal of the season....u never know!!!!!!
 
mbele kimya leo ila Moreno ovyo na LFC sioni kushinda leo hapo tupo 1-1 hii timu tunahitaji DM anayejua kuchezesha wenzake sio Hendo na Lallana na Moreno wanaharibu, LFC player leo ni Klavan tu jamaa katulia kama Arsenal wakiweka wachezaji Kati pale tutafungwa 3 tunatakiwa kubadilika.
 
Moreno sio beki kabisa.Ni bora namba 3 acheze beki yoyote tu...
Unawapa pelnat..kipa anakusaidia kukufutia makosa..dakika mbele haupo kwenye position yako..mtu anakuwa mbele yako unabaki kukimbiza tu..Sakho akipona awe anacheza namba tatu..Moreno anapenda sana kushambulia
 
Moreno ni tatizo sana kwa kweli!Ni wkt wa Hector kuja hata kwa bei wanayo itaka
 
Pazi bado hajatizika nishaona lfc tunapoteza magoli 3 game nyingi. tutoe ubishoo tuwe ngangari 3-1.
 
Upo sahihi
Kama tunashinda leo sababu ya kukosekana kwa Carzola na Ozil
Wangekuwepo kwa kasi yetu hii wanatufunga easily maana tunapoteza sana mipira katikati
kweli kabisa mkuu bt wacha tushangilie ila pia hata makosa wanatakiwa wayashughulikie vinginevyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom