Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

game yetu na Arsenal hua ya aina yake
kwa mimi naona 50-50 tu cha zaidi ni mwanzo wa Msimu
.

Sijui Mignolet kawa mpya au lah maana huyu nae,..nhh hata cech anaweza muotea
.

Sio mechi nyepesi wala ngumu,.. tutegemee tactical battle ya makocha,(even though JK amekataa huu usemi,kwa kusema sio makocha watacheza).. nikitegemea zaidi high pressing yetu,total team defending.!

Team work as JK said it's not all about individual it's a Team Work,..!!
Natarajia makubwa toka kwa Firmino Origi Mane Can Countinho wakiwa kwenye ubora ni waamuz wa matokeo,..
natamani zaidi kama Moreno angecheza winger ana pace ya kutosha,kupiga mijaruba ya mbali,na mguu wa kunyoosha upo ila ndio ivo hatuna LB mwingine.

Arsenal wana watu wanyumbulifu mno hasa kwanzia dimba la chini adi mbele kule (6-11),.. !! sijui klopp atatumia mbinu gani zaidi ya high pressing muda wote as we did at Etihad last season all in all Good luck my fellow kopities

my wish 1s 11 kwa 4-2-3-1
1.Mignolet
2.Clyne
3.Moreno
4.Lovren
5.Klavan
6.Can
7.Mane
8.Wijnaldum/Henderson
9.Origi
10.Countinho
11.Firmino
 
Dany karudi full training jana,.. klopp anamfikiria maana kwa mujibu wake(JK) Danny amekosa sehemu kubwa ya Pre-season",..
Hivyo hajajua kama ataondoka naye kwenda North London ama Lah.!

Pili amesema hatafikiria upungufu wa Arsenal kwenye sehemu yao ya ulinzi kutoka na majeruhi ya mertasacker paulista na kumpumzisha Koscienly kutoka na kutokua ma match fitness sababu ya EURO,zaidi ni kucheza bila kujali hayo.

YNWA
 
Mwenye kujua mods wa jukwaa la michezo pls mtoeni huyu mtu anayekuja kwenye jukwaa letu kutukana!
Hapa ni jukwaa la watu wanao jiheshimu sana
Wanao bishana bila lugha za ajabu kama zako
Please ondoka hapa,hatukuhitaji
Nenda kwenye majukwaa ya watu wanao tumia lugha kama zako,sio hapa
Wana Kopites yyt mweny jina la mods wa jukwaa la michezo naomba nimripoti huyu
Pazi
MosDef

Matusi ya nini ndugu??
Wakuu kuna watu wala msisumbuane nao kwa kupoteza muda wenu kuwajibu
 
game yetu na Arsenal hua ya aina yake
kwa mimi naona 50-50 tu cha zaidi ni mwanzo wa Msimu
.

Sijui Mignolet kawa mpya au lah maana huyu nae,..nhh hata cech anaweza muotea
.

Sio mechi nyepesi wala ngumu,.. tutegemee tactical battle ya makocha,(even though JK amekataa huu usemi,kwa kusema sio makocha watacheza).. nikitegemea zaidi high pressing yetu,total team defending.!

Team work as JK said it's not all about individual it's a Team Work,..!!
Natarajia makubwa toka kwa Firmino Origi Mane Can Countinho wakiwa kwenye ubora ni waamuz wa matokeo,..
natamani zaidi kama Moreno angecheza winger ana pace ya kutosha,kupiga mijaruba ya mbali,na mguu wa kunyoosha upo ila ndio ivo hatuna LB mwingine.

Arsenal wana watu wanyumbulifu mno hasa kwanzia dimba la chini adi mbele kule (6-11),.. !! sijui klopp atatumia mbinu gani zaidi ya high pressing muda wote as we did at Etihad last season all in all Good luck my fellow kopities

my wish 1s 11 kwa 4-2-3-1
1.Mignolet
2.Clyne
3.Moreno
4.Lovren
5.Klavan
6.Can
7.Mane
8.Wijnaldum/Henderson
9.Origi
10.Countinho
11.Firmino
Matip vipi?
 
1471087914279.jpg
 
Shenzi sana nyie...timu haina pesa mnambela tu...ovyi ovyo...mane atafanya mini sasa pale....
Mbona yule kasema anaondka Chelsea next season....anavunja mkataba
Mmmh ndugu, hiyo ni lugha gani? Unaweza kututafsiria kwa kiswahili hayo uliyoandika hapo?!
 
tunafurahi kukuona YNWA!

Aisee, nahisi kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia kati ya Sturridge na Klopp..(they dont like each other)..ni kama Agger Vs Rodgers OR Mkhitaryan Vs Klopp (wakat wapo Dortmund)..

Reports zinasema, he's fit lakin hatakuwepo kwenye squad leo, Klopp anasema he's not 100% fit lakin yeye anasema yupo FIT.

Your thoughts kwenye hili Pazi??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom