Naona mpaka sahiv bado hatujanunua "Controller" nilikuwa nahope tungesign wachezaji aina ya Dahoud/Paredes/Tolisso/Camacho etc ili waje kusimama sambamba na Can, katika 2-men midfield, but naona mpaka sasa Klopp ataenda na 4-3-2-1, (3-men midfield)..Can-Gini-Lallana/Henderson..it means tutatumia sana counters msimu huu..
Once tulivyobid kwa Gini, nikagundua kuwa Klopp anahitaji sana Multfunctional midfielders,(unakumbuka ile world cup ya Brazil, LVG alimchezesha Gini kama CM)..so kama Tungekuwa na midfield ya Can-paredes/Tolisso-Gini. Ingekuwa poa zaidi..Henderson isnt good enough (he cant pass between the lines) nilikuwa naangalia friendly game yetu na AS ROMA, nikaona Cou anamuomba Henderson pass, btn the lines..jamaa akaona isiwe tabu akarudisha mpira nyuma..you're on 100k p/w and Captain wa LFC na miaka 27 lakin huwezi kupiga pass between the lines..pedro na Brannaghan wanamshinda Aisee..he's not good enough to be honest (labda ajitune katika ule msimu wa 2013/2014)..lakin kwa kiwango chake cha sasa, he's not good enough..Nadhan Marko Grujic will suprise many people this season.
Nadhan Klopp alikuwa anamuhitaji zaidi Dahoud, naona BMG wanaleta ugumu kwenye kuuza.
People walikuwa wanamuhitaji sana Hector (nikiwepo mimi), but Klopp akawa anamtaka sana Chilwell, alivyoona Lei wanataka £10m kwa dogo akaachana nao, huku kwa hector akasema hafit profile ya LFC na haamini kama jamaa ana worth £20m..inasemekana kwamba anatafuta sana LB, Amavi na Robertson wapo kwenye Radar pia..naamini kutakuwa na few suprises kabla ya transfer window kufungwa. Hoping for 2 more signings.