Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mimi nadhani pamoja na kuwa siyo vizuri kufungwa goli nyingi hivi, lakini itasaidia kuwashitua kocha na wamiliki juu ya maeneo tuliyo uchi. Huyu kipa huyu....! Na tuombe dogo Grujic isiwe serious kweli.
 
poleni aise..sis chelsea huwa tunatoa dozi..mulizeni wa jana kilichotokea huko.....tatizo team kama liver sijui mnakuwaga wakamiaji kwa team kmaa kubwa hivi baca,chelsea,man u,dotmund,au bayan..ila vitimu vidgo vya kufyeka kwa butu la panga vinawatia dole.... kama nyie ni wanaume lindeni heshima..sio kila siku unakula chips halafu siku ya gemu kubwa kama barca unakula pweza na madhara yake ndo hayo...ndezi nyie..
 
Duh, ndezi pekee ndiye anaweza kuongea na ndezi!!!
 
Happy 25

1470671763490.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom