WAIKORU
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,588
- 2,463
Asante Kop kwa Maelezo murua....unajua kipindi hilo tukio linatokea nlikuwa under 5 years of age....Mkuu watu wa jiji la Liverpool hawanunui the sun,hakuna manager wa liverpool anayefanya interview na the sun hata mchezaj haruhusiwi,juzi hapa Kina Thompson na Mwenzake ambao ni fans wa liver walikuwa wanafanya kazi kituo cha talk sport wakajiuzulu baada ya Mmiliki wa the sun kuwa ndie major shareholder wa talk sport so ukiwa Kama fan wa liver hutakiwi kusoma the sun au Kulisifia hata kuliongelea,
Yani wale the sun ndio walio report kuwa mashabiki wa liverpool wenyewe ndio walianza kukanyagana wenyewe katika tukio la Hillsborough Mwaka 1989 katika yale maafa wakati Polisi ndio waliofanya mpaka jamaa wakanyagane tena jamaa wakapigania kabisa ya kuwa Polisi hawakuwa na hatia hii kitu Iliwaumiza sana Liverpool hivyo sio liverpool wala Everton anayenunua gazet la the sun katika mji wa Liverpool
nmefarijika kwa maelezo mazuri kiongozi...japo unaruhusiwa kuongeza zaidi...