Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1470509948468.jpg
1470509954980.jpg
1470509962022.jpg
1470509971108.jpg
1470509978879.jpg
 
Naona bifu la lfc na sun limekuwa kubwa baada ya klopp leo kukataa kujibu swali toka kwa mwandishi wake na kasisitiza hata jibu swali lolote toka kwao
 
ST15 atakosa game ya ufunguzi dhidi ya arsenal sababu ya hip injury

Milner wanasubiri afanyiwe scan
 
Nini kilitokea mkuu mpaka kupelekea bifu hilo?
Mkuu watu wa jiji la Liverpool hawanunui the sun,hakuna manager wa liverpool anayefanya interview na the sun hata mchezaj haruhusiwi,juzi hapa Kina Thompson na Mwenzake ambao ni fans wa liver walikuwa wanafanya kazi kituo cha talk sport wakajiuzulu baada ya Mmiliki wa the sun kuwa ndie major shareholder wa talk sport so ukiwa Kama fan wa liver hutakiwi kusoma the sun au Kulisifia hata kuliongelea,

Yani wale the sun ndio walio report kuwa mashabiki wa liverpool wenyewe ndio walianza kukanyagana wenyewe katika tukio la Hillsborough Mwaka 1989 katika yale maafa wakati Polisi ndio waliofanya mpaka jamaa wakanyagane tena jamaa wakapigania kabisa ya kuwa Polisi hawakuwa na hatia hii kitu Iliwaumiza sana Liverpool hivyo sio liverpool wala Everton anayenunua gazet la the sun katika mji wa Liverpool
 
Nashukuru sana kaka kwa ufafanuzi
Nilipokuwa Anfield mwaka 2005 nilisoma kibao mle ndani kuwa "sun we dont need you here" lkn sikujua sababu na wala sikutilia maanani
Sasa nilipoanza kuona makocha wa Reds wanakataa kuongea na Sun nikataka kujua
Nashukuru sana kwa ufafanuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom