Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Sakho kaondolewa kambini na klopp karudishwa UK (inasemekana Mama alichelewa kuwasili kambini) .... watu washaanza kuijadili future yake kwenye club.
Dah so ile Comment zetu za Sakho kuwa Captain ishakufa sasa ni Lovren au Can au baadae Matip anaweza kuna kuwa Captain, Sakho karudishwa kwajili ya matibabu ila hata Lucas na Gomez pia wameumia so sijui tatizo ni nini? Mjerumani anaanza kuwa mkali anatupa alama za kujiuliza tusubiri tuone mara ya Mwisho Sakho walimjia juu kumbe hakuna kitu.Sakho kaondolewa kambini na klopp karudishwa UK (inasemekana Mama alichelewa kuwasili kambini) .... watu washaanza kuijadili future yake kwenye club.
Dah so ile Comment zetu za Sakho kuwa Captain ishakufa sasa ni Lovren au Can au baadae Matip anaweza kuna kuwa Captain
Sakho karudishwa kwajili ya matibabu
Sakho discipline ipo chini ile match ya final na Man city the guy had concussion when substituted he became furious wakati that was necessary cautions on his healthAshajiondoa, ngoja tuone atakaye chukua kitamba
Hapana mkuu pita hapa,
It’s reported that the directive to send Sakho home early came directly from Klopp, not on the advise of the medical staff, with Sakho’s diligence around the squad questioned.
It comes just days after Sakho featured in a video from the club during their tour of Alcatraz, where Klopp revealed that the 26-year-old had been a late arrival when the squad jetted off to America last week.
hili saga wanaanza kuliunganisha na lile la kipindi kile wakati wa BR against Everton alipoondoka uwanjani
Hiyo installment ya Suarez?Liverpool will receive the final instalment in a series of staggered payments from the Catalan club this week.
Barcelona will be required to pay £13 million on July 31—which Klopp could put towards a new left-back
Ndiyo mkuuHiyo installment ya Suarez?
Mechi ilikuwa ya upande mmoja, kama kawaida yao wazee wa bus, mchezo Wa nguvu na kupeleka Grujic kukimbizwa hospital, pia kuumia kwa Klevan, rafu mbaya ya cess na kupewa red carddk.39 Chelsea 1 Vs Mitetea 0