Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

dah Kweli MosDef sijui mzima hapa duniani? ile Rangi ya Jezi ni Mbaya uzuri kama Tanesco wa kikata umeme unaonekana.
Hahaaa, kumbe hayo majezi yanawaka tena! Sema watu tumetofautiana taste zetu hadi hata kwenye rangi! Mimi hilo rangi ikitokea ninalo ningelazimika kulificha ndani tu! Hakuna kulivaa.
 
Wakuu, tumefungwa 2-1 na AS Roma. Hii mechi ambayo ilichezwa huko Missouri jana imetokea wapi?! Mimi nilijua tumebakiza mechi na Barca tu. Ila siyo mbaya, tumefungwa wajiulize vizuri kama tuko sawa.
 
Wakuu, tumefungwa 2-1 na AS Roma. Hii mechi ambayo ilichezwa huko Missouri jana imetokea wapi?! Mimi nilijua tumebakiza mechi na Barca tu. Ila siyo mbaya, tumefungwa wajiulize vizuri kama tuko sawa.
Hii ndo ilikuwa ya mwisho kwa tour ya US.Sasa tunarudi home kujiandaa na mechi na Barca itakayofanyika Wembley.Baada ya hapo tutapaa German kucheza na chama la zamani la boss Klopp akiwa mchezaji, Mainze.
 
Dah unaona sasa! Hii mechi na Mainze niliisahau kabisa... Thanks Mnyakatari.
 
Kuna hii analysis nimekutana nayo

A lack of leadership could be detrimental for Liverpool next season
Ethan Fanshawe discusses the importance of leadership for Liverpool next season.

There is a lot of debate going around at the moment about the leadership qualities within the club. I agree we lack a figure to lead us to glory as we have always had that one player, whether that be Gerrard, Hyypia or Dalglish. We have always had a leader, at least one, to keep the team in line and to take control when needed or when all hope seems lost within the team. And many fans have noticed a considerable lack of it in our current squad, and I struggle to find a way to disagree.

Now, what most fans are doing is turning on our current captain in Jordan Henderson as a result of this. Many fans on social media are crying for a new captain saying he lacks that leadership and that quality that we need. And this is what doesn’t need to happen. What fans need to do instead of wanting Dejan, Mama or Emre as a new captain is get behind and support Jordan Henderson after the disastrous season he’s had personally. Injuries have riddled Liverpool this season like no other, and our captain was unfortunately a victim of this, and was not able to give performances and play as many games as in his breakthrough season.

Game time in a system like Jürgen Klopp’s is essential as you need to be used to being exactly where you are and how to perfect it (but that is a discussion for another time). These fans seem to think that Gerrard was absolute legend quality from day 1. I think this season is going to big for Jordan, if he can get games and that experience then he will become the captain that the fans want and the club needs, however he need the backing of the fans and not the constant slating or cry for a new captain.

Also, I look at Liverpool’s activity in the market and I look at the 2 players I thought we really needed last season and that is a deep lying defensive-midfielder that can control the game, and then the ever needed left back. And this will play a part in the lack of a command as a confident deep lying midfielder can control all areas of the pitch from his position and then dictate the game accordingly, whilst a left back isn’t as important to leadership as a midfielder but a left back that listens, that can be instructed by a midfielder and can be in his left back position when he is needed and in his left wing position when he is needed. And with the potential sale of Lucas Leiva this window we are left with 23 year old Kevin Stewart with our only actual defensive midfielder.

I know if James Milner plays he will most likely be a midfielder or a defensive midfielder as in a predicted formation of 4-2-3-1 I don’t see Milner being played in an attacking role this season due to our signing so far this window in Wijnaldum and Mane, he will most likely be playing as part of the 2 if he does play which he will genuinely struggle to do as we have great competition in the part of pitch, but they are all similar players and are all quite young and the worst thing you can do to a young footballer these days add more responsibility than they already have playing for Liverpool Football Club.

In conclusion, I think that leadership needs to be cemented within the club. Whether that be with an extra signing to enforce the midfield or with the constant reinforced support of our current captain and help him achieve his potential. But what we must not do is turn on him, and beg the club for a different captain.
 
Kuna kitu inabidi kifanyike kwenye upande wa defense katika klabu yetu. Kwa mujibu wa takwimu tokea msimu wa mwaka 2013/14, liverpool ndio klabu inayoongoza kwa kufanya defensive errors (104) wakifuatiwa kwa mbali na Arsenal (86). Kwa minajili hii ya kuruhusu makosa mengi kiasi hiki, ni ngumu sana kutimiza malengo. Tunahitaji kwa namna kubwa kuziba makosa haya kama kweli tunataka kuwa championship contenders. Tumeona juhudi mbalimbali za bwana Klopp kujing'amua kwenye hili kwa kumsajili kipa (Karius) na mabeki wawili: Matip na Klavic (mind the spelling). Ila hapa juzi tu tumepata taarifa tragic kwamba tena yule kipa aliyesajiliwa na tuliyekuwa tunamtegemea dhidi ya shit Mignolet, ameumia. Tena baada ya kuumia kwa Matip, beki. Na mind you Lucas anauzwa na hivyo tutabakiwa na less experienced Stewart, na mjerumani Can. Tunahitaji another defensive midfielder, pia beki kama Hector kwa ajili ya kumuweka Moreno benchi. Ila bad enough ni kwamba kwa mujibu wa taarifa, Liverpool hawaamini kama price tag ya Hector ni reasonable. Hili likanisikitisha sana ukizingatia tunahitaji sana mtu wa kaliba yake. Lakini pia nimefurahishwa kwa namna moja ama nyingine kupata taarifa kwamba Klopp amesema ataendelea kusajili kwasabb ya kukamilisha kikosi chake. Let us hope for the better.
 
Championship ni daraja la chini zile timu zinazopigana kupanda daraja, au timu ikishuka daraja ndio inatupwa huko championship

Newcastle, QPR, wigan ndio zipo huko
Nilikosea kuweka pre modifiers BPL and UCL.
 
Tena baada ya kuumia kwa Matip,

Not serious atakuwepo ligi ikianza labda kama kuna taarifa mpya (sina uhakika) klopp pia ameonesha nia ya kumbadilisha nafasi Milner

Na mind you Lucas anauzwa

Huyu ni very lucky man ingawa Galatasaray walitaka kumnunua hivyo hivyo lakini imeonesha klopp kawa mgumu kuruhusu kuondoka kwake kutokana na majeruhi ya wachezaji wengine
 
Yap. Klop amesema ni mpaka pale atakapopata wachezaji wa kufill position yake ndipo atakapomtoa Lucas. But we still need some quality players pale middle kwa ajili ya kukaba. Stewart is not that good enough alongside Lucas.

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Not serious atakuwepo ligi ikianza labda kama kuna taarifa mpya (sina uhakika) klopp pia ameonesha nia ya kumbadilisha nafasi Milner

Huyu ni very lucky man ingawa Galatasaray walitaka kumnunua hivyo hivyo lakini imeonesha klopp kawa mgumu kuruhusu kuondoka kwake kutokana na majeruhi ya wachezaji wengine
Lucas is going nowhere
 
1470351076287.jpg
 
Huyu dogo wa Ponad Zielisnk kajiunga na Napoli
Huyu ndiyo ilikuwa target kubwa ya kocha JK
Nimemuona sana kwenye clip za youtube kwa kweli HANA KITU chochote special
NASHUKURU MUNGU tumemkosa sababu ni mzigo tu ungekuwa
 
Gabriel Mercado ambayo pia JK laimgusia kama anamhitaji
Beki chaguo la kwanza team ya Taifa Argentina
kaenda Sevilla
Sevilla,Dortmund na Atletico Madrid ni teams zilizo nunua vyema sana
Wana jiandaa kuchukua CL hawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom