Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Line up today versus Fleetwood town,a secobd pre season match
Karius
Flano
Moreno
Matip
Lovren
Stewart
Grujic
Alexander Arnod
Markovic
Mane
Ings
 
Second half line up
Bodgan
Smith
Illori
Wisdom
Randall
Lucas
Ejaria
Kent
Branaggan
Woodburn
Firmino
 
Forbes' top 10 most valuable teams 2016 (current)
  1. Dallas Cowboys $4bn (£3.03bn)
  2. Real Madrid $3.65bn (£2.77bn)
  3. Barcelona $3.55bn (£2.69bn)
  4. New York Yankees $3.4bn (£2.58bn)
  5. Manchester United $3.32bn (£2.52bn)
  6. New England Patriots $3.2bn (£2.43bn)
  7. New York Knicks $3bn (£2.27bn)
  8. Washington Redskins $2.85bn (£2.16bn)
  9. New York Giants $2.8bn (£2.12bn)
  10. Los Angeles Lakers $2.7bn (£2.05bn)
!
!
23. Arsenal
!
!
28. Man City
!
!
36. Chelsea
!
!
41. LFC
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

How a club that rich (in red) can miss out on UCL places is beyond me!
 
Mkuu usiwe na wasi wasi nina imani kubwa msimu huu tutafanya vizuri na msimu ujao wa UCL TUTAKUWEPO.

Jana tumepiga mtu 5 bila na Grujic standout tall
 
Mkuu usiwe na wasi wasi nina imani kubwa msimu huu tutafanya vizuri na msimu ujao wa UCL TUTAKUWEPO.

Jana tumepiga mtu 5 bila na Grujic standout tall

Leo nilikuwa naangalia mechi yetu ile ya kwanza. Sadio Mane ni moto wa kuotea mbali!
 
*Markovic karuhusiwa kuondoka this summer

*Gomez kaumia tena hivyo kukosa pre season na baadhi ya mechi kadhaa kama Sakho
 
Last man stand (Rafa era)

9cd6ab8407f10f1d26149b522858b737.jpg
 
Hivi katika hatua za kumnunua mchezaji,kuna kipi hua kinaendelea...¿! hasa kwenye dunia ile ya kuleeee,
Je,kuna ishu huendelea ya kibiashara (ambayo ni sheria) kati ya pande tatu mchezaji timu imtakayo na media (sana sana gazeti) yenyewe.

Mf.timu yangu hii (LFC) katika usajili kwa miaka saba hivi dah",..!! adi raha kwenye fukunyuku mwishowe (September) manyunyu jichoni tyu.

Nizidi kuweka jeki tu fundi(Klopp) amalize kulikarabatu gari nione maana yeye kwa mbaaali imekua tofauti..
YNWA
 
Hapo ni mchezaji na agent wake ndo wanaoleak informations kwenye media kutengeneza mazingira ya kupiga hela kuwa anatakwa na vilabu vingi au hata club(kama liverpool na wale waandishi wa Liverpool echo)yenyewe huwa inawatumia waandishi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom