Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

05a87fee8aa4c51641e2752a10999018.jpg

f542087686a2fbb0eafa1d348dd3dce2.jpg

153a08a0f46568587503eb3f08a8e532.jpg

b0bfde1dd7588906a97285ea46c41dce.jpg
 
Wakuu kulikua na logic gani ya kumuuza yule kinda texiera? mbna naona ni very promising talent wakuu?
 
Wakuu kulikua na logic gani ya kumuuza yule kinda texiera? mbna naona ni very promising talent wakuu?
Kila kocha ana mipango yake ndugu, hata Ferguson alimuacha pogba aondoke badala ya kumuongezea mkataba na mshahara kidogo tu ila leo yeye (Ferguson) ana lament his decision ndo imetokea Joao Carlos Texiera
 
Ok mkuu ila inge pendeza kungekua na mkataba wa kumrudisha baadae au aende kwa mkopo tu..
 
Mkuu Clyne yupo mazoezini?nasikia barca wanamtaka eti?
Clyne bado wao kurudi bado wapo Ibiza! kuna wachezaji watachelewa kutokana na Euro apo walitola mapema... kuhusu Barca wanasema zile habari alioandika anatakiwa afukuzwe kazua tu story na Klopp ndio bado anamuhitaji na si za kweli.
 
Sakho atakosa pre season yote na baadhi ya mechi kwenye ligi sababu ya kuumia

Ballo career yake lfc imekwisha tayari kwa upande wangu so sad kwa kweli
 
Clyne bado wao kurudi bado wapo Ibiza! kuna wachezaji watachelewa kutokana na Euro apo walitola mapema... kuhusu Barca wanasema zile habari alioandika anatakiwa afukuzwe kazua tu story na Klopp ndio bado anamuhitaji na si za kweli.
Ok mkuu niliogopa sana mkuukwa sababu walipakaza kuwa hana furaha under Klopp....eti Klopp doesn't rate him ....nikashangaa kwakweli.

Na hivi Alaves ameondoka nikaona
labda kweli.To me among 10 players very important kwenye kikosi Clyne yupo.Nilishangaa Hodson alikuwa anamuanzisha Walker...Clyne ni bonge la beki kwakweli asiondoke msimu huu ambao tunataka KUAMKA TENA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom