Marko anataka kubaki lakini sidhani kama atabaki maana Klopp amekiri kikosi ni kikubwa sana kinatakiwa kupunguaNimemuona Markovic kwenye ile game ya juzi.Huyu jamaa nafasi yake ikoje baada ya usajili hasa wa Mane na Firmino.Ataendelea kutolewa kwa mkopo,atauzwa au atabaki na akibaki atakuwa accomodated vipi kwenye kikosi........
Sioni akitajwa kwenye list ya walio free au wanaouzwa.Akina Ibe,Skrtel,Benteke,Toure etc
Kweli aisee kikosi ni kikubwa sana hasa hapo mbele kwenye final third....Sioni nafasi ya mtu kama Hendo....alaf ndo team captain.Huku mbele ndo usiseme....Lallana,Firmino,Coutinho,Mane,Ojo,Marko,Origi,Ings,Sturridge....Marko anataka kubaki lakini sidhani kama atabaki maana Klopp amekiri kikosi ni kikubwa sana kinatakiwa kupungua
HendoKweli aisee kikosi ni kikubwa sana hasa hapo mbele kwenye final third....Sioni nafasi ya mtu kama Hendo....alaf ndo team captain.Huku mbele ndo usiseme....Lallana,Firmino,Coutinho,Mane,Ojo,Marko,Origi,Ings,Sturridge....
ana wakati mgumu kweli aiseeMsimu huu kuna tetesi klopp anachagua capt wakeKweli aisee kikosi ni kikubwa sana hasa hapo mbele kwenye final third....Sioni nafasi ya mtu kama Hendo....alaf ndo team captain.Huku mbele ndo usiseme....Lallana,Firmino,Coutinho,Mane,Ojo,Marko,Origi,Ings,Sturridge....
Too much wasteful infront of the goalNi kweli mkuu, tulicheza ugenini na Tranmere. Kuna dogo anaitwa Trent alifanya move tamu sana akampa pande Ings.
Nilishikwa na butwa",.. kama natafutwa, baada ya kukutwa",.. sikutaka kutia neno",..Papi_jr
Umejiunga juzi Jamii forums
Hapa kuna thread ya Liverpool ya karne iliyopita na ina wachangiaji wengi sana
Futa huo upupu wako then jiunge na sisi,ukikaidi tutawaambia mods wataifuta na watakufungia
Kama wewe ni Kopites hapa tupo kibao
Miaka mingapi???Habari zinasema kipa wa zamani wa arsenal Alex Manninger ameitwa na Klopp kwenye training ili kama akimuimpress awe kipa namba tatu.
Kwa sasa ana miaka 39,alikuwepo arsenal 97-2002 na atapewa mkataba wa mwaka mmoja akifuzu.
Pia alikuwepo Juve 2008-2012 na kwa sasa anatokea Augsburg kama mchezaji huru
Miaka mingapi???
Yaah anatakiwa apate mwaka 1 sababu Fulton na Ward (ward kasha sign miaka 5) wanaondoka kwa mkopo huku Bogdan akiwa hana chake paleHabari zinasema kipa wa zamani wa arsenal Alex Manninger ameitwa na Klopp kwenye training ili kama akimuimpress awe kipa namba tatu.
Kwa sasa ana miaka 39,alikuwepo arsenal 97-2002 na atapewa mkataba wa mwaka mmoja akifuzu.
Pia alikuwepo Juve 2008-2012 na kwa sasa anatokea Augsburg kama mchezaji huru
Hakuna kop mwenye majibu kama yale 99% ni mamluki tuPapi_jr
Umejiunga juzi Jamii forums
Hapa kuna thread ya Liverpool ya karne iliyopita na ina wachangiaji wengi sana
Futa huo upupu wako then jiunge na sisi,ukikaidi tutawaambia mods wataifuta na watakufungia
Kama wewe ni Kopites hapa tupo kibao
Kuna majibu gani tena?Hakuna kop mwenye majibu kama yale 99% ni mamluki tu
Tafuta uzi umeandikwa livepool (lfc) threadKuna majibu gani tena?