Unadhani mpira hajui, baloteli ni mchezaji mzuri tu, hebu jiulize angekaza mazoezi, akili yake kuweka malengo na juhudi za kukamilisha malengo km cr7 angekuwa wapi, ila uchizi wake tu ndio unamuangusha na kutokujituma uwanjan, tatizo la balotel anacheza kifadha mnoo hahangaiki kwa ajili ya team anahangaika kwa ajili ya youtube na mashabiki, utakuta yeye ndio striker kashuka chin kusaidia team, akipata mpira huko, atapiga pasi ya kisigino halaf anatembea anaona kamaliza kazi wakat anapaswa kusogea juu kufanya kubwa zaid ya hako kakisigino.