



Tatizo hii dili inasuasua sanaTupo vizuri jamani
Tunauza Benteke tunaleta mtu wa maana
Gotze bado nina imani nae sana,hajasahau bado kufunga yule dogo
Klopp atalimaliza hiliTatizo hii dili inasuasua sana
Salam mkuu, nadhani dili la Goetze ndo limekufa baada ya Saido Mane kununuliwa alichokuwa anakitaka JK kwa Goetze anakipata tena ma zaidi kwa Saido Mane, versatility, possession, scoring and pace vyote Mane anavyoTatizo hii dili inasuasua sana
Salam mkuu, nadhani dili la Goetze ndo limekufa baada ya Saido Mane kununuliwa alichokuwa anakitaka JK kwa Goetze anakipata tena ma zaidi kwa Saido Mane, versatility, possession, scoring and pace vyote Mane anavyo
Sijasema Mane ni mbaya ilichosema ni kuwa vile vitu ambavyo klopp angepata kwa Goetze anapata zaidi kwa Mane, wote ni wachezaji wazuriMbona Sadio Mane yuko vizuri zaidi ya Gotze? Au sababu tu Gotze hatolei EPL ndio maana tunamwona kama ni mzuri sana? Mbona ni wa kawaida tu.
Salama mkuu.... hili lishakufa tu sioni nafasi yake .... mane uwepo wake umeshazua mjadala juu ya uwepo wa lallana ..Salam mkuu, nadhani dili la Goetze ndo limekufa baada ya Saido Mane kununuliwa alichokuwa anakitaka JK kwa Goetze anakipata tena ma zaidi kwa Saido Mane, versatility, possession, scoring and pace vyote Mane anavyo
Nadhani hukumuelewa vizuriMbona Sadio Mane yuko vizuri zaidi ya Gotze? Au sababu tu Gotze hatolei EPL ndio maana tunamwona kama ni mzuri sana? Mbona ni wa kawaida tu.
Ngoja tuone mwisho wakeKlopp atalimaliza hili
Salama mkuu.... hili lishakufa tu sioni nafasi yake .... mane uwepo wake umeshazua mjadala juu ya uwepo wa lallana ..
lallanaSijasema Mane ni mbaya ilichosema ni kuwa vile vitu ambavyo klopp angepata kwa Goetze anapata zaidi kwa Mane, wote ni wachezaji wazuri