Xplorer
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 607
- 857
Inasemekana Benteke amekubaliana na crystal palace
tumepewa £25mil tumekataa faster!!labda kuna mwingine mwenye dau kubwa zaidi anamuhitaji
Inasemekana Benteke amekubaliana na crystal palace
umri wa jamaa upo vp",..Matip Jersey
![]()
1991 huyuumri wa jamaa upo vp",..
Naona lfc wanataka £30tumepewa £25mil tumekataa faster!!labda kuna mwingine mwenye dau kubwa zaidi anamuhitaji
Naona lfc wanataka £30
Ngoja tuone mwisho wakeSijui kama tutaipata hiyo 30,hapo tutaishia kujuta tu ni kwanini hatukuchukua hiyo 25.
Balo is back .....
“I want to win the Ballon d’Or,” he said. “Although I realise I got stuck at five out of 10 in the last two years when my goal was to get closer to 10. I know people will laugh when I say I want the Ballon d’Or. I have not done everything needed to become the best.”
![]()
nimefurahi sana kusikia Napoli wamekubaliana na Udinese kwa ada ya Piotr Zielinski,huyu jamaa bado sana ilikuwa tupoze tu hela kwa kuwa aina ya uchezaji wake anazidiwa hata na kina Markovic,Ibe etc.nitafurahi zaidi iwapo tutamnasa Mahmoud Dahoud,hapo hata tusiposajili tena dirisha hili mimi binafsi nitakuwa poa.
.... Mahmoud naona kakataa mkataba mpya uzuri lfc sajili yetu tunaijua wenyewe
Historia yake inaonyesha anayo tatizo kichwani ndio kilichosababishwa awe na wazazi wengine wa malezi aliumwa alivyokuwa mdogo sana.ha ha ha ha haaaaa....."I want to win the Ballon d’Or"...huyu jamaa inabidi achunguzwe vizuri,huenda ikawa anayo matatizo ya akili.
"Uzuri lfc sajili yetu tunaijua wenyewe"Nahisi wanatu-test tu![]()
.... Mahmoud naona kakataa mkataba mpya uzuri lfc sajili yetu tunaijua wenyewe

Hii sijaiona mahali,.. still rumours mkuu",.. Tusubiri tuzidi kujionea",..Hivi ni kweli skirtel anaondoka lfc?