Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tatizo la mashabiki wa ligi ya uingereza tumeathiriwa na mpira wa majina. Tunataka tusikie kasajiliwa lewandosky au Gomez ndo tuseme tumesajili. Mpira wa sasa umebadilika, kunahitajika wachezaji wa kujituma na wenye roho za kupambana. Leicister wamechukua ubingwa wana mchezaji gan mkubwa? Atletico Madrid wanawatoa barca na kucheza fainali uefa wana wachezaji gani wenye majina? Mane ni mzuri ana nguvu, spd,ball control na anakaba. Wachezaji wa aina hii wanauwezo wa kucheza timu yoyote kwa mfumo wowote. Tena kwa mfumo wa klopp anafit kwa 100%. Tuache kuangalia majina
 
Lik

e za kutosha
 
Welcome to the reds dogo

He'll wear no. 19 at Anfield.

4ecba6555296ec270b89fd294faa5fdf.jpg

“Today is a big day and I am very happy to sign for one of the biggest clubs in Europe,” said Mane.

“It’s a club that has won a lot of trophies and has a big history.

“Now I am looking forward to meeting all the staff and my teammates and starting the season.”
 
Watu walimlaumu sana BR but kuna dalili kubwa sana Klopp akafuata nyayo za BR.Kwa usajilli anaoufanya Klopp still wachezaji aliosajili BR (Can,Clyne,Gomez,Coutinho,Sturidge,Firminho,Allen ) ndio watakao wasaidia.Huwezi shindana na kina Mou na Jose kwa kusajili wachezaji kama Mane

Ayre ataondoka next year vuta subira
Ngoja niendelee kuweka akiba ya maneno tu mkuu .....
 
Echo, ayre wote walisema every signed player BR had a final say, so BR failed at his own risk, Klopp alitaka kumsign huyu Mane since way back yuko dortmund ila mambo yakamwia ugum, kama Klopp kaafiki kununuliwa kwa Mane sioni cha kupinga, i trust in him, alimwokota huko aubameyang leo tunaona anavyokitifua, lets wait and be humble, tumwache kocha afanye kazi kwanza

Sikatai mkuu nasubiri kuona hilo.... lakini now klopp kamsign kwa triple cost hapo hapo wakati Soton wanamsign kwa £12 BR alimkataa ....
 
Sikatai mkuu nasubiri kuona hilo.... lakini now klopp kamsign kwa triple cost hapo hapo wakati Soton wanamsign kwa £12 BR alimkataa ....
Deney Watford wamekataa £25 anauzwa 30. Bei ya wachezaji imepanda hizo 25 au 30 bei za kawaida hata stoke na west ham wanazitoa. Afu Kwanza mane 30 iko poa usiangalie kiwango alichosajiliwa angalia kipaji chake.
 
Deeney ni mchezaji wa kingereza bei zao zinajulikana.Kumbuka Sterling aliuzwa £49m
 
Deeney ni mchezaji wa kingereza bei zao zinajulikana.Kumbuka Sterling aliuzwa £49m
Na Eric Bailey murngereza? je alicheza EPL pia ukishacheza EPL price nimechunguza zinapanda na ni Beki. kila Player tusubiri tuone ndio tuhukumu.
 
Na Eric Bailey murngereza? je alicheza EPL pia ukishacheza EPL price nimechunguza zinapanda na ni Beki. kila Player tusubiri tuone ndio tuhukumu.

Huyu Mane last season LVG alitaka kumsajili mkaanza kutucheka naona mshasahau.
 
Not happy with Sadio Mane signing for sure!

Heard we have signed him for Pound 36m,totally a steal...

Tungepata World class winger kwa less than that money..................

I can see him flop like Benteke at LFC!

Nina amini Mane Atabuma pale LFC!

System yetu ya usajili ina tatizo,Mane is not that worth....
aisee futa ulichoandika hapo Ni wazi hujawah kumuona mane anacheza

Mane katika top 3 players weny spedd epl yupo...benteke hata top 100 hayupo

Mane anadribble.. ana avaraga 2.7 dribbles per game..ambayo ni sawa na payet na martial
- benteke hawez dribble

Mane anacheza wings zote..plus anaweza cheza striker..na kama attacking mid..benteke hana iyo versatility

Yani we ni waz hujawah ona mane anacheza
 
Mane ni mchezaji wa kisasa anafit kuchezea tm yoyote. Ukitaka acheze winga ya kukaba atakaba, ukiopt kushambulia atashambulia, ukitaka ahold mpira kuchelewesha muda atahold. Yani ana kila kitu kinachohitajika.
 
Skrtel has been forced to take to social media to apologise for comments regarding manager Jurgen Klopp.

........recent post on his friend’s Instagram account included the hashtag “#KloppJeKKT,” believed to translate roughly to “Klopp the dickhead.”
 
stupid excuse!!..."it was my friend who was incharge of my account"....nonsense
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom