Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MAAJABU YA LIVERPOOL/KLOP

Unamuuza Joe Allen unamuacha Jordan Henderson

Unamnunua Ben Chilwell ku-compete na Albeto Moreno!

LFC inaendelea kunikatisha TAMAA!

YNWA.
Joe Allen kama akibaki LFC, atakuwa ni squad player, na yeye anataka kucheza kila week, kitu ambacho hatakipata LFC, so kwa maana hiyo huwez kumzuia kuondoka. nilikuwa nawish Allen abaki kama Squad player lakin kwasasa inaonekana haiwezekani tena..so tukipata £10m kwa Allen itakuwa ni good business..


Msimu ujao inasemekana Klopp anachagua Captain mpya, so hii moja kwa moja inamaanisha kuwa Henderson HATAKUWA starter Next season.


i'd take Chilwell for £5m, but kama Leicester wanahitaji £10m then kuna haja ya kuangalia sehem nyingine. £10m for Chilwell ni nyingi sana.
 
Nolito to City...And Pep anamtaka Sane pia..

Kama Sane and Nolito wakienda Man City then thats it for Sterling..
 
Dogo angebaki LFC angekuwa mzuri sana by now kajipoteza kabisa usishangae akaibukia west ham United
Mtu wa kulaumiwa sama kuhusu demise ya Sterling ni agent wake Aidy Ward..

Aliforce Move kwasababu ya PESA, na sad thing ni kwamba dogo hakuwa na washauri wazuri kabisa. Tusubirie tuone itakuwaje msimu ukianza.
 
Mtu wa kulaumiwa sama kuhusu demise ya Sterling ni agent wake Aidy Ward..

Aliforce Move kwasababu ya PESA, na sad thing ni kwamba dogo hakuwa na washauri wazuri kabisa. Tusubirie tuone itakuwaje msimu ukianza.

Narudia kusema kuwa players only need money!i am sure Sterling will be happy to earn a lot of money for the next three years even if it takes him to be on the bench,kumbuka kuhusu enrique na glen johnson,Kama haitatokea timu nyingine kumuwekea dau kubwa la mshahara atabakia City tu.
 
Narudia kusema kuwa players only need money!i am sure Sterling will be happy to earn a lot of money for the next three years even if it takes him to be on the bench,kumbuka kuhusu enrique na glen johnson,Kama haitatokea timu nyingine kumuwekea dau kubwa la mshahara atabakia City tu.

Nope, hatakuwa na furaha hata kidogo..and siyo kila mchezaji yupo motivated na Money..na pia kung'ang'ania kubaki kwenye club moja inategemea na uwezo wa mchezaji na umri wake, Enrique aling'ang'ania kubaki LFC kwasababu isingeweza kutokea Club yoyote ambayo ingemlipa mshahara ambao sisi tulikuwa tunamlipa hii case ni tofauti na kwa sterling he's just 21 na ana potential kubwa sana, so kukaa bench wakat ana miaka kibao ya kucheza hakuwezi kumletea furaha hata kidogo.

LFC ilioffer hela nyingi kwa Ousmane Dembele kuliko Dortmund but he chose Dortmund, hii imewatokea Manure utd pia Embolo amechagua kujiunga na Schalke, unadhan nani alioffer hela nyingi hapo?? ambitions ndo inayomjenga mchezaji, youngsters wanahitaji kuwa na washauri wazuri. Thats it.

Career ya Sterling imeharibika, unafikiri kina Rodwell, Sinclair etc wanafuraha katika maisha yao baada ya kuharibu career zao kwasababu ya Pesa? wako wapi sahiv?

You cant blame mchezaji wa miaka 26-27 na kuendelea kumove kwenda kwenye club nyingine kwasababu ya Pesa, kwasababu umri unamruhusu kufanya hivyo, lakin kwa Youngsters huwa zinakuwa ni career ending moves. ni wachache sana huwa wanafanikiwa, LFC were never going to pay Sterling 180k per week (NEVER)..


NB: Mchezaji yoyote yule Duniani anayeforce kwenda kucheza Barcelona/Madrid/Bayern huwa hafanyi hivyo kwasababu ya Pesa bali ni Ambitions na ni kila dream ya mchezaji kucheza kwenye hizo clubs, Suarez accepted a pay cut kwenye mshahara wake kujoin Barcelona.
 
Dogo angebaki LFC angekuwa mzuri sana by now kajipoteza kabisa usishangae akaibukia west ham United
Sterling uwezo wake ndio umeishia pale alikuwa na nafasi ya ku-improve na Pelegrini alimpa sana nafasi na majeruhi ya Nasri,KDB na Silva lakini ndio mwisho wake hata kama angebaki Liverpool angeishia vile vile,msimu ambao Sterling alicheza vizuri hata Henderson alicheza vizuri.Kuna watu walisema Ibe ni bora kuliko Sterling,Sterling akaondoka Ibe akabaki hakuna cha maana alichoonyesha .Wachezaji wa kingereza wengi vimeo Walcott,Sterling,Lalala hawana tofauti
 
Naona Saido Mane anaweza akatua ANFIELD wakuu.

huyu jamaa yupo vizuri,lakini anaweza kucheza vizuri mechi moja alafu akapotea mechi nne zinazofuata!at £30mil he is a risk not worth to take,that is why Koeman decided to bench him several times.
 
Huku kujitoa kwa uingereza EU naona kama kutaathiri zaidi michezo kwa wachezaji kupata work permit yawezekana pia ikawa ngumu ku-sign mchezaji chini ya miaka 18
 
Huku kujitoa kwa uingereza EU naona kama kutaathiri zaidi michezo kwa wachezaji kupata work permit yawezekana pia ikawa ngumu ku-sign mchezaji chini ya miaka 18
Hii ni habari mbaya kwa teenager ambao ni European-born but ni habari njema sana kwa wachezaji kutoka amerika na africa,

Inamaana kwamba sheria zilizokua zinatumika kuwasajili wachezaji toka afrika na south America ndio zitaanza ku-apply kwa hawa wengine.
 
Kwa Mane sina IMANI KABISA. Natamani sana Hector aje. Tukimpata tutakuwa tumepiga hatua sana.
 
Hivi Liverpool na Southampton huwa wana nini. Sasa imekuwa kama southampton ni kikosi cha pili cha LIVER
 
Kama ambavyo sikufurahia ujio wa Baloteli na Benteke, hii habari ya Mane kwangu siyo nzuri kabisa. Simuoni kama ni mchezaji wa kuaminika/kutegemewa sana.
 
Melissa Reddy ‏@MelissaReddy_ 17s17 seconds ago
Sadio Mane will have a medical and discuss personal terms with #LFC on Monday ahead of a £30m switch from #SaintsFC
 
Mané will be Liverpool's main signing this summer. #lfc (Paul Joyce)
 
Means this window there will be no splashing of cash on big signings, Mane is our marquee signing

Dah Liverpool yangu hii
 
Mie Nashangaa sana Mnaosema Saido Mane hafai jamaa kwa Maoni yangu mZuri sana kushinda Mario Gotze angekuwa Mzungu mngebabaika, Mane ni Good Player ila Zielinski Hapana Bora Mahmoud Dahoud mie Klopp namuamini hata July haijaisha ni mwanzo mie Im so Happy with Mane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom