Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Kuna baadhi ya timu zinamtaka yawezekana akauzwaBranagan asipopanda first team hiyo academy ya liver ifungwe tu naona ujinga tu
Kuna baadhi ya timu zinamtaka yawezekana akauzwaBranagan asipopanda first team hiyo academy ya liver ifungwe tu naona ujinga tu
Liverpool yarudi tena kwa Christian Tello,wa FC Barcelona ikitaka kumsajili kwa release clause ya €25,and he is unlikely to remain FCB for next season.
Tello alikua kwa mkopo Fiorentina msimu uliopita kwa kufunga mabao mawili na ku assist nane kwa 15 appearance uko Sitie A..
YNWA"
huyu Tello toka yupo Barca mie sijaona uchezaji wake naona wanamsifia Bure tu au Media zao, Barca ni timu nzuri sana kiasi hata mie na wewe tukipangwa mbele kunauwezekano wa asilimia 80 kufunga goli ukaonekana bonge la player.Liverpool yarudi tena kwa Christian Tello,wa FC Barcelona ikitaka kumsajili kwa release clause ya €25,and he is unlikely to remain FCB for next season.
Tello alikua kwa mkopo Fiorentina msimu uliopita kwa kufunga mabao mawili na ku assist nane kwa 15 appearance uko Sitie A..
YNWA"
Klopp alikuwa anachukua watu wasiojulikana na kufanya wajulikane Mara ya mwisho LFC ilisaidia kwa mtu kama Xabi Alonso na Luis Garcia na Pepe Reina siogopi sana ila tuki sign Higuain basi nitakula Viatu vyangu vya Ngozi bila Maji.

Mkuu tetesi tu usijipe pressurehuyu Tello toka yupo Barca mie sijaona uchezaji wake naona wanamsifia Bure tu au Media zao, Barca ni timu nzuri sana kiasi hata mie na wewe tukipangwa mbele kunauwezekano wa asilimia 80 kufunga goli ukaonekana bonge la player.
Mkuu tetesi tu usijipe pressure
Muite fundi wa mpira.. Mtoto balaa huyu, moja kati ya players wachachr dunian ambaye hata timu ikipotea ye hapotei, much respect to this magician BrazilianHappy 24th birthday the Magician
![]()
yani tetesi zetu hadi saivi sijaona mchezaji wa maana tunayehusishwa nae,tumekuwa tukihusishwa na cheap unknown players ambao hata tukiwanunua wanaishia kuwa mastaa alafu wananunuliwa na timu zinazotaka ubingwa...watch out what is going to happen to Countinho.
Ndiyo mkuumy poor liverpool'does it mean uwezo wetu wa kuvuta top quality players umeishia kwa huyu Tello!!ambaye hata Fiorentina hawamtaki?
We've never replaced him.Former lfc John Arne Riise has confirmed his retirement from professional football...
![]()
![]()
Good riddance.Teixeira confirms his move to Porto this summer.
![]()
Sepp naye ana lake jambo kipindi kile analaumiwa alikata anakuja kukubali leo ataanza kusema hata yaliyotakiwa yasijulikaneNimekuwa nikisema mara kwa mara kuwa kuna foul-play zinafanyika katika upangaji wa UCL draws. sasa naona Sepp anakubali kuwa mchezo mchafu upo katika upangaji wa draws..