Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp Anajua kwa kiasi flan namfananisha na mzee wenger sababu moja kuu
1.Hawana kubembeleza mchezaji hata kama ni bora kwa wakati husika sababu wanapenda mtu awe na moyo na klabu,..na sajili zao za maono zaid nadra kukuta usajili wake unakua na floop

so we kopitie,..tumuachie Mr.afanye yake tutakuja m judge october ivi...
 
Away kit

31aacd09b2103b3637c313e8a2c76cbc.jpg
 
Low anamchezesha Gotze kama false no.9..and he's been so shit yaani...mpaka Euros ziishe thamani yake itakuwa imeshuka sana..and nilikuwa naombea awe na Euros mbaya, coz kuna uwezekano akakosa Clubs, and kwa perfomance yake mpaka sasa naona thaman yake inazidi kushuka.

Baba yake alisema Gotze to Liverpool and Dortmund will be a STEP down, so wanasubiria Barcelona/Madrid LOOOOL..can see him come begging tumsajili baada ya Euros.

I'D TAKE HIM IN A HEARTBEAT.
 
Gotze, Jonas Hector, Dahoud/Hector Herrera/Tolisso/Paredes AND zielinski.

Add Karius, Matip and Grujic kwenye hiyo List and we're balling.
 
FIRST 11.

Karius
Clyne-Matip-Sakho-J.Hector
Dahoud-Can
Coutinho-Bobby-Gotze
Sturridge.

Dahoud wants Liverpool, Ian Ayre akitoa £30m anayotaka kuwapa Southampton kwaajili ya Mane kwa BMG, ni lazma watamwachia Dahoud.

Kama BMG wakigoma, Hector Herrera and Tolisso are my 2nd choices...my 3rd choices are Camacho and Hojberg..Paredes ni great shout aswell but sidhan kama Roma watauza Aisee considering Wamemuuza Pjanic Juventus (Sioni Roma wakiwaruhusu Paredes na Gerson kuondoka kwa sasa)

Klopp yupo USA, ukiachana na mapumziko nahisi pia atakuwa anamscout na kumfatilia Hector Herrera (lol my dreams)...

And Kovacic is available pia, (£24m). badala ya kulipa £30m for Mane, hawa ni baadhi ya wachezaji ambao tunatakiwa kutumia pesa kuwavuta..kwasababu wanacheza kwenye maeneo ambayo tunahitaji kuyafanyia uwezekezaji mkubwa sana.
 
Kova nadhani madrid wanataka kum loan out roma, sio kumuuza moja kwa moja
 
Mane wakat anachezea Salzburg, alikuwa offered kwetu for £9m..but BR akachomoa..now Scouts na TC inaona jamaa anafaa for £30m..Leicester city, West Ham etc wana Scouts wazuri kuliko LFC..Academy yetu imekuwa shit for years kwasababu na bad scouting. And cha kushangaza Euros na Copa America zinaendelea na Ben Smith anasema Scouts na LFC officials wote wapo mapumziko (naona Klopp tu ndiyo anazunguka kwenye Copa America)...asa kama scouts wa Club wapo mapumzikoni wakat wa michuano mikubwa ikiendelea huwezi kuziepuka Lazy signings kama za kina Benteke...MANE isnt worth £30m. simple.
 
Kova nadhani madrid wanataka kum loan out roma, sio kumuuza moja kwa moja
Apparently Madrid wanataka kumuuza moja kwa moja.

Wanahitaji kurudisha £24m yao waliyomnunulia kutoka Inter Milan.

Roma wapo interested na Loan Move, BUT Madrid wanataka kuuza moja kwa moja for £24m.
 
Hivi Moreno hawezi kuwa transformed akawa left winger kabisa akaachana na ubeki?Anayo pace
Bora abaki kama back-up tu tukipata LB mzuri..au kama tutamchezesha kama Winger basi ni pale tutakapokuwa tukicheza 3-5-2..mfumo ambao sidhan kama tutakuja kuutumia.

Moreno ni mzuri kama tukiwa tunacheza kwa kushambulia..tatizo letu sisi hatuna MF nzuri, ndo maana ni rahisi sana kwa Full-back aina ya Moreno kuwa exposed.

But, bado anajifunza, anafanya Mistakes ndiyo lakin room ya kuimprove bado ipo sana..bado nina imani nae..i cant write him off..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom