Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1465237329212.jpg


Liverpool Close to Securing Signing of Mexican International Hector Herrera
 
Mliamini tetesi za kwamba klopp anamtaka Marc Andre ter stergan mwisho wa siku loris karius kasaini lfc hata kabla ya bundersliga kumalizika.
 
Klopp alikuwa anachukua watu wasiojulikana na kufanya wajulikane Mara ya mwisho LFC ilisaidia kwa mtu kama Xabi Alonso na Luis Garcia na Pepe Reina siogopi sana ila tuki sign Higuain basi nitakula Viatu vyangu vya Ngozi bila Maji.

Hahaaaaa ..... kwa hili unaweza jiandaa
4b696856ecb953ae83a99f8c797c5c9a.jpg
 
Nimetoka kuikodoa hii taarifa mda,..Picha ikioneshwa mda akitoka,..
JK yupo serious asee,..tatizo la kipa amesolve even hatujamuona akicheza EPL,Beki wa kati mmoja anamgeukia Higuain,..tukimpata na dahoud soko litakua limeenda vyema Klopp uccheleweshe biashara kuifungua mahesabu baadae ivi,.mwez april
 
Klopp analeta watu wa ukweli sana!
Ubingwa wetu mwaka huu lkn kutakuwa na MANAGERIAL BATTLE

Huku Klopp,kule Mo,kule Conte,Kule Pep na kule ajuza Wenger
EPL ianze sasa
 
Klopp analeta watu wa ukweli sana!
Ubingwa wetu mwaka huu lkn kutakuwa na MANAGERIAL BATTLE

Huku Klopp,kule Mo,kule Conte,Kule Pep na kule ajuza Wenger
EPL ianze sasa

Una utani na ze gunners 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom