Hii ya Coutinho itaeenda mwisho utasikia wanachukua pesa wenzetu wapo Kibiashara sie tupo na uchungu wa timu, LFC owner wasituzingue hapana kuuza wao wanunue vifaa.. Ukiona Paul Joyce wa Express kaongea ujue kuna ukweli, LFC owner asilete ujinga nitaondoka na Linda shaurizake naye atawekewa dau.