Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Reports suggesting that, Sakho will be available for Euros.
 
Bascombe saying kuna possibility ya Sakho kui-sue UEFA..

And UEFA, wameilift Ban ya Sakho, but at the same time wameOpen another investigation ili kuangalia kama ni kweli kama Sakho ali-violet Ant-doping issue..but IMO this is BS, kama imebainika kuwa Fat barners alizotumia Sakho hazikuwepo kwenye List ya dawa ambazo zinakatazwa na wao UEFA, why opening another investigation?
 
Klopp ka semion,. wanafanya cheap business of talented players but profitable in advance..."YNWA"
 
REPORTS in France zinasema kuwa Sakho anaweza akatoka kwenye hiki kitanzi cha doping scandal..

HAHAHAHAHA.
Carra alimponda sakho kua he has let the club down kwa matumiz ya madawa...haha sasa Sakho ni innocent.huyu carra sijui wap ataficha uso wake
 
Na now sakho anaruhusiwa kucheza labda kwa sababu france ina majeruh Kwenye centerbacks department..so platini being a french na kwa kua alikua in uefa board before huenda he has played his part....it is all speculations though
 
serious note thoough, UEFA screwed SAKHO man..

Lets sue UEFA.

LOL.
alafu ile mijinga twitter iliyoandika Sakho kafukuzwa waombe msamaha tu au wanataka akasirike aondoke sema LFC pia wakulaumiwa ndio walioanza kumzuia kucheza na Uefa wakaiga.
 
Carra alimponda sakho kua he has let the club down kwa matumiz ya madawa...haha sasa Sakho ni innocent.huyu carra sijui wap ataficha uso wake
ndio matatizo ya watu kurukia wasiolijua wanafikiria kama yule mvuta Bangi wa Peckham?
 
alafu ile mijinga twitter iliyoandika Sakho kafukuzwa waombe msamaha tu au wanataka akasirike aondoke sema LFC pia wakulaumiwa ndio walioanza kumzuia kucheza na Uefa wakaiga.
Club ilikuwa ni lazima ifanye vile ili kuonekana inaenda sambamba na rules za UEFA..

manake Suala la Doping ni kubwa sana, so hata kama Club ilikuwa inam-support behind the scenes, mbele ya media ni lazima ingejifanya ipo sambamba na UEFA.
 
Reports suggesting that, Sakho will be available for Euros.
Sema Uefa sitoshangaakwa namna wanavyochukia timu za EPL hasa Platini, Sakho ataruhusiwa kucheza France then Kama akichaguliwa kucheza Euro ikiisha ndio Uefa watatafuta sababu zengine za kumzuia wao tatizo lao ni LFC tu na timu za EPL hasa LFC. sasa LFC kama hana Kosa wampeleke uefa mahakamani na bonge la Fine.
 
Klopp ana bonge la dilema kaachiwa na kilaza br

Akisajil quality mid means hendo hatakua regular...kutokua regular means his captaincy is at stake..hapo klopp anatakiwa kua ruthless kama mourinho ..
 
Na tukitaka kudevelope our prospects kama kina branagan allan basi hata bench hendo hatakiwi kukaaa.aisee tumefanyiwa dhulma sana na kilaza br uwa namkubali sana mourinho, kama hakutaki ukigoma kuondoka atakuweka benchi hadi unaomba mwenyewe kuondoka,
Sasa klopp anatakiwa kua ruthless nae kama kina mou

Lkn klopp hayuko under pressure sana kulinganisha na kina mou ambao wao wasipodeliver epl tittle ndan ya mwaka wanatimuliwa...sie klopp kwetu yuko considered kama project manager..he will be here for 6-7 years..so naturally hawez kua na ruthless streak ya managers kama kina mou
 
Mbona unacheka mak89?
hii season inayokuja ndo mda sahih wa kumueka klopp under scrutiny. He will live and die by his signings... .kilaza br hatakua responsible tena kingine tutambue ligi inabadilika sana, maana competition inakuwa kubwa sana, kuna top managers hivyo wanatakiwa kufanya quality delivery in their teams
 
nimecheka pale uliposema hayupo kwenye scrutiny kama mourinho
 
Na tukitaka kudevelope our prospects kama kina branagan allan basi hata bench hendo hatakiwi kukaaa.aisee tumefanyiwa dhulma sana na kilaza br uwa namkubali sana mourinho, kama hakutaki ukigoma kuondoka atakuweka benchi hadi unaomba mwenyewe kuondoka,
Sasa klopp anatakiwa kua ruthless nae kama kina mou

Lkn klopp hayuko under pressure sana kulinganisha na kina mou ambao wao wasipodeliver epl tittle ndan ya mwaka wanatimuliwa...sie klopp kwetu yuko considered kama project manager..he will be here for 6-7 years..so naturally hawez kua na ruthless streak ya managers kama kina mou
Eti project manager let's hope hatakuwa project manager atakuwa successful manager melwood
 
Na tukitaka kudevelope our prospects kama kina branagan allan basi hata bench hendo hatakiwi kukaaa.aisee tumefanyiwa dhulma sana na kilaza br uwa namkubali sana mourinho, kama hakutaki ukigoma kuondoka atakuweka benchi hadi unaomba mwenyewe kuondoka,
Sasa klopp anatakiwa kua ruthless nae kama kina mou

Lkn klopp hayuko under pressure sana kulinganisha na kina mou ambao wao wasipodeliver epl tittle ndan ya mwaka wanatimuliwa...sie klopp kwetu yuko considered kama project manager..he will be here for 6-7 years..so naturally hawez kua na ruthless streak ya managers kama kina mou

Hata Brendan Rodgers hakuwa under pressure lakini alitimuliwa.Mpira wa sasa usipo-deliver unafukuzwa au unaondoka mwenyewe kwa pressure
 
The Reds sealed European Cup number four on penalties 32 years ago today!

28afd16c2af79c5d1f639bfd4a229028.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom