jana ds ndo kidog alikua na afadhal kati ya attackers wetu..he was only one aliekua anajarib kucreate anything japo he was quite wasteful na some of his decisions were bad but coutinho lallana firmino were really avarage1-1 leo hatukucheza Vizuri Kabisaaa pasi za Hospitali na za Nje ila Hazard man of t match, Chelsea GK alionekana kuchemka zamani tu. LFC na West Brom waende kina Branagan na stewart na Ojo na wengine tupumzishe Players.
Milner alikua anamuacha can peke yake katikati jana..Milner kula kadi hapo sasa.
YNWA
Can produced one of his worst performancesHalf time,Can kakosa goli. Tujipange kipindi cha pili.
YNWA







hizi chembechembe za APARTHEID KABISA









it seems kuna siasa mule ndaniShey Ojo ana Assist 4 na goli 1 katika mechi alizocheza......Brad smith cjui kapafomu vizur gemu moja lile....Lkn kapewa iyo tuzo asee dahhh na hata performance Ya under 21 ya Ojo ni nzuri kuliko Brad Smith why Wamempa huyuhizi chembechembe za APARTHEID KABISA
Ngoja tuu niangalie Bunge hawa Watoa Tuzo za Liverpool wameniuzi mnoo wamezifanya tuzo kuwa km za KTMA![]()
Pumbafu sana wale acha nipunguze jazba kwa marudio ya bunge hapait seems kuna siasa mule ndani
Hata best performance of the season kwenda kwa Cou against City siielewi!!
We have had greater nights vs Manure, BVB, Chelsea with better players performance
hahahaaaa...Pumbafu sana wale acha nipunguze jazba kwa marudio ya bunge hapa
Brad Smith sioni uchezaji wake wala ubeki wake kapendelewa, LFC naona Chumba cha kubadili kitabadilishwa kwenda ubavu wa Jukwaa jipya linakojengwa pamoja na This Is Anfield imetolewa watajenga kwenye jukwaa jipya! pengine game 5 za home LFC watachezea Wigan.Pumbafu sana wale acha nipunguze jazba kwa marudio ya bunge hapa
ni kweliPhilippe keshakua kingwendu... hafai kwenye young PFA
hizo awaachie akina origi, rashford, iwobi, mensah, martial etc