Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Duh Milner muda mwengine hafikirii nafikiri ile Foul Fabregras kamwambia Milner mkuu utauuuwa hehehe.
 
Anayetoka (Traore) na anayeingia (Abraham) tofauti yao ni breach kichwani,ila wamefanana.
YNWA
 
Leo Mentor atafurahi! nafikiri Tumpumzishe Coutinho ila Mignolet hajitambui sio mbaya ila Coutinho apumzishwe na Emre Can au Milner hii Game haibadilishi kitu zaidi ya kutaka ushindi wa Kuaga home game. Kushinda Europa ni muhimu sababu ya CL! zaidi ya hapo sitaki kucheza Europa tena.
Kumbuka kuna uwezekano wa kukosa yote pia: UCL na Europa.
 
Nadhani leo tuishie hapa,kama tukikosa kuingia uefa na hata europa basi chelsea ndio mchawi wetu.
YNWA
 
1-1 leo hatukucheza Vizuri Kabisaaa pasi za Hospitali na za Nje ila Hazard man of t match, Chelsea GK alionekana kuchemka zamani tu. LFC na West Brom waende kina Branagan na stewart na Ojo na wengine tupumzishe Players.
 
Sunderland kabaki Big Sam anajigamba tehtehteh ila Defoe ni mnyamaaa jamaa striker! NewCastle siioni kurudi tena EPL kwenye 2yrs na Martinez anapigwa kibuti kesho So nikawekeze Sunderland msimu ujao kumaliza top 4 tehteh!
 
Norwich na Sunderland leo wamepigana sana.
Ila kimenishangaza hawa Norwich kukumbuka shuka kumekucha.
YNWA
 
Norwich na Sunderland leo wamepigana sana.
Ila kimenishangaza hawa Norwich kukumbuka shuka kumekucha.
YNWA
na Norwich si kama wanacheza vibaya jamaa hawana Nguvu tu tukija kwa Sunderland jamaa wanajituma na wananguvu ila beki zao mbovu! newcastle wanacheza na Mashabiki hawana Players wakutaka kubaki wanakata tamaa, Aston Villa ndio kabisa kuna game unaona kuna Players wanafikiria timu gani wataenda msimu ujao ila Sunderland wachezaji walikuwa na moyo wa nataka kubaki na hii timu na kubaki EPL!
 
9318bc6c20b4b428797d62b07813a5c2.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom