Leo Mentor atafurahi! nafikiri Tumpumzishe Coutinho ila Mignolet hajitambui sio mbaya ila Coutinho apumzishwe na Emre Can au Milner hii Game haibadilishi kitu zaidi ya kutaka ushindi wa Kuaga home game. Kushinda Europa ni muhimu sababu ya CL! zaidi ya hapo sitaki kucheza Europa tena.
wamtoe na akitolewa anaanza tabia zake za kidemu ila Hazard leo anapeleka game hii tuwe makini na wachezaji kuumia.Sturridge leo kanywa togwa?
YNWA
Utaishia hapo hapo mwisho ujinyee..,Sturridgeee..daaaah..
YNWA
Koloooo...
YNWA
wamtoe na akitolewa anaanza tabia zake za kidemu ila Hazard leo anapeleka game hii tuwe makini na wachezaji kuumia.