Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Analysis:

sipati picha tutafungwa magoli mangapi leo maana kama kawaida yake Hiddink lazima awaweke Mikel na Matic pamoja hivyo kupunguza attacking power yetu.

Yani niko bize nakusanya data za mechi ambazo Mikel na Matic wamecheza pamoja tukashinda na mpaka sasa sijapata.
 
Acha uoga wako tuta kupiga viwili tu (2 o'clock)
 
Analysis:

sipati picha tutafungwa magoli mangapi leo maana kama kawaida yake Hiddink lazima awaweke Mikel na Matic pamoja hivyo kupunguza attacking power yetu.

Yani niko bize nakusanya data za mechi ambazo Mikel na Matic wamecheza pamoja tukashinda na mpaka sasa sijapata.
Katika defensive midfielder ambao huwa wananiacha hoi ni pamoja na mikel huyo mtu akiwa uwanjani timu zote hazichezi siyo yake wala upinzani

Ila ni mzuri wa kutoa maboko
 
Lovren kaanza kuwa mzalendo,maana hii save ya kichwa ni balaa.
YNWA
 
Coutinho kama akiupata nadhani ataua mtu,maana ana hasira kinoma na kupiga shots.
YNWA
 
5 minutes left kwenda half time.
Still 0-1, chelsea lead the show.
YNWA
 
Leo Mentor atafurahi! nafikiri Tumpumzishe Coutinho ila Mignolet hajitambui sio mbaya ila Coutinho apumzishwe na Emre Can au Milner hii Game haibadilishi kitu zaidi ya kutaka ushindi wa Kuaga home game. Kushinda Europa ni muhimu sababu ya CL! zaidi ya hapo sitaki kucheza Europa tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom