Ahahaaaa mi nakuombea ushindi ingawa kiroho ngumu nataka Judas Iscariot (steering) akose ucl next seasonBado hii mechi 38 ndo ligi itakuwa imeisha
Hahaha kweli msaliti steeringAhahaaaa mi nakuombea ushindi ingawa kiroho ngumu nataka Judas Iscariot (steering) akose ucl next season
Ahsante sanaHongereni sana
Dada yangu njoo huku ili May 18 tufurahie ubingwa wetu pamoja pale Mliman City!Njoo kwenye team inayoshinda vikombe,ondoka huko utakufa siku si zakoHongereni sana
Tunawaombea kwa Mungu muingie CL,then round ya kwanza mtoano tucheze na ww maana unajua ni ushindi wa bwerere!Hata Simon Msuva huyu awe Liverpool chini ya Klopp acheze na Man U atatupia hapo hapo OTHatutaki wageni sasa hivi. Mpaka tuchukue FA na tuingie top 4 hahah
Asante sana. Kwa kutubahatisha mechi moja unafikiri itakuwa zote au. Wewe jidanganye tuTunawaombea kwa Mungu muingie CL,then round ya kwanza mtoano tucheze na ww maana unajua ni ushindi wa bwerere!Hata Simon Msuva huyu awe Liverpool chini ya Klopp acheze na Man U atatupia hapo hapo OT
Unamaanisha sai msuva huyu wa yanga??hahahaTunawaombea kwa Mungu muingie CL,then round ya kwanza mtoano tucheze na ww maana unajua ni ushindi wa bwerere!Hata Simon Msuva huyu awe Liverpool chini ya Klopp acheze na Man U atatupia hapo hapo OT
Hats sisi tunachukua FA......Sevilla siyo mdogo kaka yangu mjipange kweli kweli.....mie sina hiyana nitakuja kukushangiliaDada yangu njoo huku ili May 18 tufurahie ubingwa wetu pamoja pale Mliman City!Njoo kwenye team inayoshinda vikombe,ondoka huko utakufa siku si zako
Hiyo picha mbona tofauti na maelezo ya juuRoberto Firmino v Philippe Coutinho in the Premier League...
![]()
Playstation zitakosa mchezaji jamaa katemwa, Refa Millionea ndio kapewa game ya Liverpoolfc vs Seville huyo Refa ana Historia ya kuzitosa card za Yellow na Red timu za EPL, Manuel Pelegrini alikasirika naye pia Rafael Benitez wakati wa LFC pia Arsene Wenger alimlasirikia huyo Refa. sie tuachane na Refa mashuti ya mbali tu mpira ndani ya Nyavu yaishe. Refa tumuache afanye kazi yake.Enrique leaves Liverpool after 99 appearances.
Kivipi Mkuu? Ni EPL au umeona Firminho Assist kidogo? au Prngine umeona kitu mie sijaona.Hiyo picha mbona tofauti na maelezo ya juu
Sasa nimekupata nilienda kuchukua Miwani trhtehteh Mzee Eddy rudi dah aje naye ajionee mwenyewe mie Sifai kuwa RefaHiyo picha mbona tofauti na maelezo ya juu
Sasa nimekupata nilienda kuchukua Miwani trhtehteh Mzee Eddy rudi dah aje naye ajionee mwenyewe mie Sifai kuwa Refa
akirudi atarekebisha