MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
siku ile Emre Can kaumia kwenye game ya Dortmund akatolewa nje, Lakini baadaye kidogo alikimbia 50 yards kushangilia goal la Lovren na kina Coutinho kwenye corner kule..![]()
![]()
![]()
glass boy nae wanamfanyia drug test?, ila ukiangalia ile performance na Swansea hata mimi ningewapima wote hasa Emre Can eti alikuwa majeruhi anarudi kwa performance ile siyo mzito
Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
Jana kasema tangu alipoumia, HAKUPUMZIKA, kila siku alikuwa yupo Melwood kwa ajili ya mazoezi mepesi target yake ikiwa ni hii game..
EMRE CAN is a FUTURE LFC captain, i can feel it man..
Leo kwenye Presser, Klopp kasema Origi na Henderson wote wana uwezekano wa kuwepo siku ya FINAL..Ings kisharudi, nadhan atacheza game ya week ijayo..no need to rush him, Gomez nae yupo kwenye light trainings, mpaka Pre-season inaanza tutakuwa na Full-squad.
Klopp kaimanage ishu ya Sturridge (injuries) vizuri sana Aisee, kwasasa sioni kama DS atasumbuliwa na injuries za mara kwa mara, na he's just getting sharper kila siku zinavyokwenda..