Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ousmane Dembele anatakiwa na Bayern, Barcelona, Dortmund na Arsenal...but guess what?? sisi ndiye wenye nafasi kubwa zaidi...

#Klopp'sEffect
 
Daily Star saying we want Lewandowisk, HAHAHAHAHAHAHAHAHA





WONT HAPPENNNN!!!!!
 
STEVEN GERRAD, ana jersey karibu za team zote za EPL na zile alizokutana nazo Europe, BUT HANA na HAJAWAHI kuswap Jersey na MCHEZAJI YOYOTE WA MANURE UTD.
 
Last year, Origi alikuwepo kwenye WORST team of the season kule FRANCE, but STATS zilionyesha he was ahead of Martial (£58m player)
 
Wachezaji kama kina Bogdan wale, Klopp atakuwa anashangaa sana wamefikaje Liverpool..

nakumbuka kuna kipindi tulikuwa tunalia Migs apigwe bench adake Bogdan, bwana Bogdan akapewa nafasi ile game dhidi ya Watford, hahahaha, Tukapigwa 3-0..hahahahhahaha..
 
Cant see Everton fielding a strong team hiyo j5, wana game ya FA cup na utd Jmosi...surely watahitaji sana kufocus kwenye FA cup kuliko kwenye derby!!!,


no matter how i try to hate the Ev, huwa nashindwa manake wapo kwaajili ya kutupa points tu almost kila msimu..shit team..
 
unaweza ukaomba The Ev walau waifunge Utd hiyo Jmosi, but kama kawaida yao, they'll just bottle it..

Useless team..
 
kulikuwa na poll, twitter na facebook kuhusu the most annoying fans, LFC and Arsenal fans came 1st, lol..
 
Nzi compared Depay na Sterling, kina Pazi wakamwambia Sterling ni established zaid kwenye EPL na Depay anatoka league nyepesi, though hakuna aliyekataa kuwa he's decent, but tukamwambia tena kuwa Depay ni potential player, so kuna mawili kushine au kuvurunda kulingana na presha ya team..tukaletewa masTATS kibao Aisee..tangu siku ile mpaka leo Depay's still chasing his first touch, terrible player, should've stayed a little bit longer kule uholanzi, dogo kawa mmoja kati ya most irrelevant players kwenye EPL..used to fancy that kid to be honest, but nilijua bado hakuwa tayari kwaajili ya EPL kulinganisha na HYPE aliyopata..
 
So LFC fans, akija Dembele, tupige kimya kidogo, manake mpaka sasa ndiyo the most HYPED kid in the GAME..
 
Manake unaweza ukajitapaaaaa, yakawa yaleyale ya kina IBE au bwana Depay..
 
So true

dbc1fca306108e320f26f9e84f2dc7f1.jpg
 
Liverpool: Mignolet, Clyne, Lovren, Sakho, Moreno, Lucas, Milner, Lallana, Firmino, Coutinho, Origi.
Subs: Ward, Toure, Sturridge, Allen, Ibe, Stewart, Smith.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom