Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

#YNWA

b0c5f948dd7132500ac0175e75fbe6d1.jpg
 
Sturridge akifunga goal lake la 50 j5 dhidi ya Everton, ataungna na Ian Rush katika list ya LFC strikers waliofikisha magoal 50 kwa haraka sana, akiwa nyuma ya El Nino (Fernandoo), Sir Hunt, na Sir Stubbins..WHAT A RECORD..

Na ukichukulia amekuwa on and off kwasababu ya injuries..

and tangu arudi kutoka kweye injuries msimu huu kafunga goal 6 kati ya games 8 alizocheza...
 
inasemekana kuwa Klopp's first target ni Ousmane Dembele na siyo Gotze..

kwa fasta fasta tu, nadhani itakuwa ni Dembele, Zielnski, (Goretzka/Dahoud/Camacho/Gundogan), (Chilwel/Hector/Gurrielo), GK, (Chicharito/Alario/Marlos Moreno)
 
Aisee, tusimpomsign Gotze, sijui uso wangu nitaweka wapi, manake kwa mbwembwe nilizofanya baada ya PAUL JOYCE kufanya yake..ni hatari..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom