Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Sijui nikujibu ila ngoja nikukaushie tuSitamuangusha Ranieri Leo. Spur lazima akae
Sijui nikujibu ila ngoja nikukaushie tuSitamuangusha Ranieri Leo. Spur lazima akae
Pole aisee naona Van gaal anachizika every single day, you have Martial on pitch playing as a winger na unakuja kumuingiza Young acheze kama stiker hata kibadeni hawezi fanya hivyoKwanza nipe pole ndugu, maana leo.
Umeongea point kubwa. Wachezaji wa kibongo wanatakiwa kujifunza kitu hapa
Naona wameku-prove wrongDaaah!
Skrtel na Kolo then chipukizi kibao,nadhani hata sare tushangilie jamani
Simuamini Skrtel kwa sasa!Hata ile faulo aliyoicheza ikasababisha wapate bao Stoke ilikuwa unneccessary kabisaNaona wameku-prove wrong
Mkuu nilipo muona Young anaingia na Martial bado yumo nilishangaa sanaPole aisee naona Van gaal anachizika every single day, you have Martial on pitch playing as a winger na unakuja kumuingiza Young acheze kama stiker hata kibadeni hawezi fanya hivyo
Nooo striking force was good...skrtel n Kolo bado ni shit.Naona wameku-prove wrong
Asante sana. LVG anazingua mda Mwingine. Timu yetu inashinda mechi mbili Baada ya hapo maumivu tenaPole aisee naona Van gaal anachizika every single day, you have Martial on pitch playing as a winger na unakuja kumuingiza Young acheze kama stiker hata kibadeni hawezi fanya hivyo
Not today .....Nooo striking force was good...skrtel n Kolo bado ni shit.
Remember Stoke's goal...Not today .....
İla BR inabidi aingizwe kwny Vitabu vya Guinnes asee kusajili watu na kushindwa kuwatumiafunctioning Mid ya leo mara ya mwisho kuiona ilikuwa ni dhidi ya Westham kwenye FA cup, ambapo Stewart alicheza pia..
madness..İla BR inabidi aingizwe kwny Vitabu vya Guinnes asee kusajili watu na kushindwa kuwatumia
SidhaniAllan he is good on passing,..knows where to pass at which time,...
my wish to see him again next season of slashing & smashing our opponents
YNWA
Sijawah muona live but kweny utube he looks half gundogen half coutinho.#edLiverpool are set to battle Spurs, Dortmund, United and City for Borussia Monchengladbach midfielder Mahmoud Dahoud.