Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Daaah!
Skrtel na Kolo then chipukizi kibao,nadhani hata sare tushangilie jamani
 
Sitamuangusha Ranieri Leo. Spur lazima akae
Daaahhh, Leicester city ndo wanachukua epl hii ni aibu kubwa kwa Liverpool na Arsenal. Kama Spurs akipoteza leo Leicester akishinda mechi mbili zijazo basi ndo atakuwa bingwa zikiwa zimebaki mechi 3 kama SAF alivyotabiri.

Kante, nimeshangaa Peter schmeical alichosema kuhusu yeye alikuwa anatembea kwa miguu kutoka kwake kwenda mazoezini mpaka klabu ikaona aibu wakampa gari ya zamani and he hasn't changed. Leo hii anawindwa na vilabu vikubwa duniani hapa ndipo wachezaji wetu wajifunze success haiji kirahisi kama wanavyotaka wao
 
Huyu dogo Kevin Stewart ni mpambanaji balaa.
So sorry Ojo alitoka mapema kwa kuumia.
 
Daaahhh, Leicester city ndo wanachukua epl hii ni aibu kubwa kwa Liverpool na Arsenal. Kama Spurs akipoteza leo Leicester akishinda mechi mbili zijazo basi ndo atakuwa bingwa zikiwa zimebaki mechi 3 kama SAF alivyotabiri.

Kante, nimeshangaa Peter schmeical alichosema kuhusu yeye alikuwa anatembea kwa miguu kutoka kwake kwenda mazoezini mpaka klabu ikaona aibu wakampa gari ya zamani and he hasn't changed. Leo hii anawindwa na vilabu vikubwa duniani hapa ndipo wachezaji wetu wajifunze success haiji kirahisi kama wanavyotaka wao
Kwanza nipe pole ndugu, maana leo.

Umeongea point kubwa. Wachezaji wa kibongo wanatakiwa kujifunza kitu hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom