Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Stewart could get an opportunity to make his full league debut, with Emre Can suspended for the next two league games, against Stoke City and Bournemouth.
 
Wazee wa jukwaa la tetesi nawasalimu kwa jina la Mukhitaryaaaaan
Na
Aubamayeeeeeeng
 
Baada ya kubebwa sasa unajisikia amani kabisa teeeeehe teeehe usiku utarudi kuifuta kauli yako mkuu
1460021170032.jpg
 
wow wow wow wow!!!!!!

Kitambooo saaaaaaaaana, hahahahahahahahahaha!

missed you too saaaana brother..

hahahahha..uliadimika sana..
Dah kweli kitambo sana. Leo sare yatosha ila kuna kazi sana aiseee
 
Leo tupo nyumbani pale signal park mjini Dortmund leo YWNA itaimbwa uwanja mzima na fans wote

Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
I can't wait Mkuu.......Yaani noma sana, natarajia ukaribisho mzuri kwa Klopp
 
lol, itabidi klopp aanze kumpa nafasi next season..

dogo Trickett-smith naona ataachiwa aondoke mwisho wa msimu
Itabidi iwe hivyo sababu dogo ana-spirit nzuri uwanjani

Trickett ameshaambiwa akatafute timu nyingine maana ile position yake ku-make kwenye first timu ni ngumu ila nahisi anajisikia vibaya kuona wenzake (Ibe, Rossister)ku-make kwenye first timu
 
Tupo mkuu cc pia tulikumis pia japo msm huu sio mzuri kwetu cz tunapanda na kushuka lkn acha tusubiri msm ujao
Mkuu kwema kabisa..Yeah ni kweli aiseee hatuko poa, tucheki tu nxt season!Ila naamini kama tukimtoa uyu Bvb basi fainali tutafika. Ila kazi ipo aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom