Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,328
Yaani ilikuwa soka nzuri wale mashabiki wao wakajua bora waende home tu coz hali ilikuwa mbaya...Kama nyie mlioogopa uwanjani mmeondoka mapema vp kuilikuwa Na Fire?
Yaani ilikuwa soka nzuri wale mashabiki wao wakajua bora waende home tu coz hali ilikuwa mbaya...Kama nyie mlioogopa uwanjani mmeondoka mapema vp kuilikuwa Na Fire?
Hapo threat ni timu kutoka spainBilbao
Dortmund
Sevilla
Villareal
Shakhtar
Sparta plague
Bragga
Kuna asilimia kubwa za kuelekea spain
Pale hakuna nani anapangwa na nani, ni mwendo wa kuokota vikaratasi. Ni some sort of bahati nasibu.Taarifa za chinichini nilizopewa ni kuwa KLOP atapangwa na timu yake ya zamani SUBIR MUONE
Okay. And this too, I'm bookmarking it.EPL's new Ferguson(Klopp)atawaandaa vijana tunawachapa!
Liverpool is getting better and better!
Taarifa za chinichini nilizopewa ni kuwa KLOP atapangwa na timu yake ya zamani SUBIR MUONE
Bilbao
Dortmund
Sevilla
Villareal
Shakhtar
Sparta plague
Bragga
Kuna asilimia kubwa za kuelekea spain
i meant kuna asilimia kubwa ya kupangiwa timu ya spain.Nadhani hukunielewaNo easy games at this stage; every win now will be earned
Utabiri wa wengi umetimia,BORUSSIA DORTMUND VS LIVERPOOL