Kuna vitu huwa vinakera basi tuCaptain Hendo alikuwa anaimaliza mechi hii mapema sana!!
Milner left back imemshinda, Sturridge anacheza kifaza sana ndo maana nilisema hii game Origi alitakiwa kuanza.Captain Hendo alikuwa anaimaliza mechi hii mapema sana!!
Milner anakaba sana,kwa game ya leo tunahitaji mkabaji kama yy!!Milner left back imemshinda, Sturridge anacheza kifaza sana ndo maana nilisema hii game Origi alitakiwa kuanza.
That coutinho's goal is unbelievable
Coutinho amefanya kazi kubwa Sturridge anakuja kupoteza kizembe wakati angeshoot mapema au angetoa pasiMilner anakaba sana,kwa game ya leo tunahitaji mkabaji kama yy!!
Origi aanze na Southampton maana Dan sasa anatuyeyusha tu,hana uwajibikaji
Anatolewa then ananuna!Huyu aondoke tu atatuletea harufu mbaya kwenye dressing room!!Coutinho amefanya kazi kubwa Sturridge anakuja kupoteza kizembe wakati angeshoot mapema au angetoa pasi
Tuwe wakweli jamani,leo Man U na Liverpool game nzuri mno iliyojaa ufundiLeo United kidogo wametupa mapigo ya moyo ILA magician ndio noma Leo clyne nimemuonea huruma.
We still need him mkuu ..... Ila Klopp naye hatabiriki maana Ibe kamchenjiaAnatolewa then ananuna!Huyu aondoke tu atatuletea harufu mbaya kwenye dressing room!!
Vipi Majogoo yanaiogopa Dortmund?!Tukutane na yyt isipokuwa tu Dortmund
Hatuwaogopi ila tukutane nao fainaliVipi Majogoo yanaiogopa Dortmund?!
Hongereni watani...
Sasa kama hamuwaogopi mbona hutaki kukutana nao kabla ya fainali? Braza vipi?Hatuwaogopi ila tukutane nao fainali
Kama nyie mlioogopa uwanjani mmeondoka mapema vp kuilikuwa Na Fire?Sasa kama hamuwaogopi mbona hutaki kukutana nao kabla ya fainali? Braza vipi?
Ibe alipewa nafasi nyingi sana ikawa kazi bure kabisa!Ona mtu kama Lallana au Lovren wametumia vyema nafasi zao hata sasa Skrtel hawezi kuja tena pale!!We still need him mkuu ..... Ila Klopp naye hatabiriki maana Ibe kamchenjia
Kocha wa Dortmund kaichukua team toka JUNE mwaka jana so ana muda mrefu na team wkt Klopp kaichukua team hivi karibuniVipi Majogoo yanaiogopa Dortmund?!
Hongereni watani...
Sturridge mbwembwe nyingi mpuuzi sana...wale tulikuwa tuwapige hata tatu jana.Sturidge muda mwebgine Kama demu, Origi kabadili game hii tushapita.