Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,543
- 35,402
Coutinho ni kama suarez, hajawahi kuwa penalty taker
Relax basi ndugu. Ndo imeshstokea hiyosuala la kuwapa Lucas na coutinho wapige penalties ni upuuzi.
Coutinho ni kama suarez, hajawahi kuwa penalty taker
Relax basi ndugu. Ndo imeshstokea hiyosuala la kuwapa Lucas na coutinho wapige penalties ni upuuzi.
inauma Aisee, mistakes nyingine huwez kuzitegemea kutoka kwa WC manager.Relax basi ndugu. Ndo imeshstokea hiyo
Sijawahi muona ila kocha aliamini atapatainauma Aisee, mistakes nyingine huwez kuzitegemea kutoka kwa WC manager.
ushawahi kumuona Coutinho akipiga penalty?
Na suala la nani atapiga penati wanakuwa wameshatrain na meneja anajua kabisa aliowapanga wakati wa kutrain penalties.World class manager kama klop hawezo kusubiri muda wa penati gemu ya fainali ndo apange watu wa kupiga.Anakuwa ameshapanga,labda itokee mtu kaumia au hakuwepo uwanjani dk ya mwisho.Sijawahi muona ila kocha aliamini atapata
Basi huyu kocha amezingua kabisa. Maana anawajua wachezaji wake. Penati hazina mwenyewe hata yule fundi wa penati anaweza akakosa vile vileNa suala la nani atapiga penati wanakuwa wameshatrain na meneja anajua kabisa aliowapanga wakati wa kutrain penalties.World class manager kama klop hawezo kusubiri muda wa penati gemu ya fainali ndo apange watu wa kupiga.Anakuwa ameshapanga,labda itokee mtu kaumia au hakuwepo uwanjani dk ya mwisho.
Waliopiga ndo waliokuwa vizuri kwenye training.Mwingine anaweza kukataa kupiga penati kwenye gem ya presha kama hii.Ni lazima penati ipigwe na wengine.Penati ni bahati tu ikieadodea ndo imetoka na ikiiuchanganyia unapeya.
The fight was real!The spirit was real!!inauma Aisee, mistakes nyingine huwez kuzitegemea kutoka kwa WC manager.
ushawahi kumuona Coutinho akipiga penalty?
Ha ha ha umenikumbusha zomea zomea ya shule ya msingi enzi hizoHaooooooooooowamefungwa haooooooooooo....
kumbe una akili ndogo sana....sorry for that.Haooooooooooowamefungwa haooooooooooo....
Ukweli ni kwamba Caballero os damn good inpenalties toka akiwa Malaga ya Spain, na penalty ya Licas ilikuwa ni kali sana, nilishangaa ilidakwa! Powerful drive, on the side, 5 feet from the ground, on target!!suala la kuwapa Lucas na coutinho wapige penalties ni upuuzi.
Mnamtetea klopp bure tu..Na suala la nani atapiga penati wanakuwa wameshatrain na meneja anajua kabisa aliowapanga wakati wa kutrain penalties.World class manager kama klop hawezo kusubiri muda wa penati gemu ya fainali ndo apange watu wa kupiga.Anakuwa ameshapanga,labda itokee mtu kaumia au hakuwepo uwanjani dk ya mwisho.
Waliopiga ndo waliokuwa vizuri kwenye training.Mwingine anaweza kukataa kupiga penati kwenye gem ya presha kama hii.Ni lazima penati ipigwe na wengine.Penati ni bahati tu ikikudodea ndo imetoka na ikikuchanganyia unapeta.
The fight was real!The spirit was real!!
Tuwaponageze vijana kwa walicho onyesha,vijana wamecheza soka,vijana wamepigwa kwa penalty dakika 120
Wanakuja Jumatano home,watapigwa tu!Penalty yyt anakosa;100% ni discrete probability
Penalty hazina fundi
My friend Ed n Edd nEddy pole sana. Ndo mpira huo.
Najua maana zile penati sio kabisa.Asante jana nilikua very dissapointed
Hao ndio makapteni wako,unaweza ukaangalia game chache sana au omba waumieMsimu ujao nikimuona henderson na milner kwenye pitch i will never watch a game.
Msimu ujao nikimuona henderson na milner kwenye pitch i will never watch a game.