Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,103
- 1,910
And that was coutinho....he just offers the classic
Ukisikia Coutinho na timu yetu hii ujue kafungaCoutinho kafanyaje?..... nasikia kwa mbali akitajwa...
Game kali sana,really final in footballingNimejikuta nakosa ujasiri wa kuangalia hii game
Great!!Ukisikia Coutinho na timu yetu hii ujue kafunga
Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
Mi nasubiria matokeo tu. Sipendi kupata presha ya Mignolet....Game kali sana,really final in footballing
Kafungwa bao la ajabu sana huyu kipa wetu,tuliwachapa hawaMi nasubiria matokeo tu. Sipendi kupata presha ya Mignolet....
mbona alizosave amzisemi yeye Leo ndio man of the match upande wa LiverpoolKafungwa bao la ajabu sana huyu kipa wetu,tuliwachapa hawa
Ni kazi yake kuokoa sio kufungisha,angecheza hivi toka mwanzo game hii ingeisha 1-0 hiimbona alizosave amzisemi yeye Leo ndio man of the match upande wa Liverpool
Sawa kafanya some brilliant saves piambona alizosave amzisemi yeye Leo ndio man of the match upande wa Liverpool