Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
I hope kale kaugonjwa ketu ka "consistently inconsistent" hakatajirudia tena kwenye mechi zinazofuata.
Ile gegenpressing ya jana was the best of the season nadhani.
Tukipata wachezaji wazuri (marquee signings) this coming summer tutakuwa vizuri sana, but naona ugumu wa kuwapata wachezaji wa aina hiyo kama hatuta-qualify kucheza UCL. Unless of course wale Yankees wakubali kutoboka mifuko yao ki-Abromovich!!