The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
Kushabikia LFC kunahitaji roho ngumu sana
but ndo kama hivyo...Liverpool mmeipenda wenyewe
but ndo kama hivyo...Liverpool mmeipenda wenyewe
Najua maana zile penati sio kabisa.
Hao ndio makapteni wako,unaweza ukaangalia game chache sana au omba waumie
Kama mimi nikiwaona Mikel na Matic kwenye starting line up....siangalii hiyo mechi!
Ndo kilichobaki hichokuna vitu ukiviona unabaki chozi linatoka tu, ngoja tusubiri another season
Kushabikia LFC kunahitaji roho ngumu sana
but ndo kama hivyo...Liverpool mmeipenda wenyewe
Msimu ujao nikimuona henderson na milner kwenye pitch i will never watch a game.
Why Coutihno yupo nje?Where is Dan and Sakho?
Klopp selection yake kwa kweli siielewi jamani!Kolo Wembley kacheza dakika 90+ leo tena ana anza?
Halafu magoli yao mnashangilia hivi milner ana goli ngapi msimu huu na assist ngapi? Mmajua work rate yake ? Kops wengine bhana boringHahahaa.... Hawa Waingereza wawili ni bad 2 news!
Mkuu game ikiisha urudi humuleo lazima kipigo, usianze kuleta kisingizio mapema ............. na mpgwe tu"
Ng'ombe hazeeki na mapembe yake!Mtaisoma namba,Liverpool mbele kwa mbeleleo lazima kipigo, usianze kuleta kisingizio mapema ............. na mpgwe tu"
real very boringHalafu magoli yao mnashangilia hivi milner ana goli ngapi msimu huu na assist ngapi? Mmajua work rate yake ? Kops wengine bhana boring
He was awareness na alichokua anakifanya,Tujipongeze Mkuu kwa 3-0leo lazima kipigo, usianze kuleta kisingizio mapema ............. na mpgwe tu"
na tumepigwa kweli teeehe teeeheleo lazima kipigo, usianze kuleta kisingizio mapema ............. na mpgwe tu"
Come again, dude??Halafu magoli yao mnashangilia hivi milner ana goli ngapi msimu huu na assist ngapi? Mmajua work rate yake ? Kops wengine bhana boring