Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

31099E3500000578-3439475-Ogbonna_wheels_away_after_heading_West_Ham_s_winner_past_Simon_M-m-17_1455061128335.jpg


Liverpool players celebrating....!!!
 
Chiravela stewart branagan wapewe game time in epl..hatuna cha kupoteza kweny league...hendo abadilishwe awe fullback tu.
‬ Hendo na milner wawe wanapishana fullback ya kulia
 
Yani ilori akirealize his potential tunawez kua na or own varane...aende gym aongeze upper body strength..ana kila kitu dogo kuanzia positioning pace ability on the ball
So tunawez kua na gomez na ilori kama our cbs..maana gomez is great talent na his future ni cb position. .add matip in there and we have good options kwa miaka
 
Sidhani kama ataweza Bobby anaonekana nyoronyoro sana, Suarez is a bit tougher

Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
hata Suarez alistruggle sana msimu wake wa kwanza physically..kama kwa xabi, Agger, Coutinho, Sterling, Garcia, Baros etc..but wakaja kukaa sawa..ndiyo itakavyokuwa kwa Firmino..

just wait and see..
 
Kwa firminho sina shida! Atakuwa better sana anaweza mkaribia Suarez! But IBE should kip his head up! And benteke should go n get another striker . kwa mechi ya Jana tulikuwa tushamaliza gemu kabisa kama sio yeye kukosa magoli ya wazi kabisa. The young boys Smith, Stewart, chirevela,texeira,Kent,illori wako vzri sana
 
Next season atakuwa physically fit na hapo watamkoma sana! Najua sturidge ataondoka, hata benteke, kolo, sakho nae, waje watu pale wa maana kabisa
 
IBE asipoangalia atakalia sana benchi texeira akikaa vzr IBE uchoyo mwingi sana. Ila we need to win capital cup to save our season...na itatupa boost kwa next season
 
Nilikuwa naangalia ile gemu ya jana na westham aisee tuna safari ndefu!lwa upande wa Rogers au Kenny kwenye usajili mimi siwalaumu hata kidogo kwa kuwa walikuwa wanafata transfer policy inayowataka wasajili wachezaji wenye umri below 24,na wenye potential ya kuwa top players with high profit margin na ikiwezekana wawe ni Waingereza...Rodgers anasema alikuwa anaoperate under bussines model and not winning model,hii inapelekea tuwe tunanunua wachezaji wakawaida kwa bei ya chini tukitarajia kukua kwa viwango vyao.binafsi nilikuwa nina uhakika kuwa FSG hawawezi kumsajili Texeira kwa Paund million 38 wakati ana miaka 26!ilikuwa ni ndoto,hata hii summer tunayoizungumzia tusitegemee kuskia wachezaji walio kwenye piki kuja Anfield otherwise hii policy inadilishwe.
 
Jamani jamani, muwe na akiba na maneno. Maana hata kuhusu Klapp naona taratibu mnaanza kurudi kwenye reality. Siku za kuwa na mzuka zinazidi kuisha.

Klapp ana kazi kubwa sana mbele yake; na asipocheza Pele, basi muda si mrefu scousers wataanza kumruka.
 
Qn: What do you call something that is beaten by WestHam three times in six months?

Ans: LIVERPOOL

1455178099674.jpg
 
Nilikuwa naangalia ile gemu ya jana na westham aisee tuna safari ndefu!lwa upande wa Rogers au Kenny kwenye usajili mimi siwalaumu hata kidogo kwa kuwa walikuwa wanafata transfer policy inayowataka wasajili wachezaji wenye umri below 24,na wenye potential ya kuwa top players with high profit margin na ikiwezekana wawe ni Waingereza...Rodgers anasema alikuwa anaoperate under bussines model and not winning model,hii inapelekea tuwe tunanunua wachezaji wakawaida kwa bei ya chini tukitarajia kukua kwa viwango vyao.binafsi nilikuwa nina uhakika kuwa FSG hawawezi kumsajili Texeira kwa Paund million 38 wakati ana miaka 26!ilikuwa ni ndoto,hata hii summer tunayoizungumzia tusitegemee kuskia wachezaji walio kwenye piki kuja Anfield otherwise hii policy inadilishwe.
You're very very very wrong brother..

1. Idea ya kununua UK based players siyo policy ya FSG na haijawahi kuwa policy ya LFC, sometimes tunaponda business modals za FSG bila kuangalia hali halisi ya Club, na akina nani wapo nyuma ya FSG (washauri), ikumbukwe when FSG rescued us kutoka kwa Kina Hicks, walimuappoint Daglish kama Manager, na commoli kama D.O.F, katika kurebuild status ya Club, FSG walitoa £100m+ ya usajili kwa kina Daglish, so idea ya kununua English players aliiweka Daglish (mainly akitaka kurudia ile era yake 80's alivyokuwa LFC manager, kwamba English players wana work rate kubwa) he signed Henderson, Downing, Charlie Adams, Carrol etc, Commoli wanted Mata, Payet, Aubameyang (kipind kile ambapo hakuna mtu aliyekuwa anamjua), Aguero, Gotze, Matuidi etc, but Daglish ruled out hizo moves, kipind kile Commoli alifanikiwa kukamilisha deal ya Coates, na alisaidia kukamilisha deal ya Henderson ambapo kulikuwa na stiff comeptition kipind kile, coz Daglish alikuwa katoka kumkos Phil jones ambaye he chose Ferguson over him, so wakaweka nguvu kwa Hendo, lakin ukiachana na hao, Commoli hakuweza kumkumshawishi Daglish kuhusu First 11 yake ambayo ilikuwa na majina ya wachezaji niliowataja hapo, tena wengi wao wakiwa ni cheaper kama Auba, Matuidi, Payet etc, tukaishia kwa kina Downing, hizi signings zilivyofail, Daglish na Comolli wakapigwa chini, baadaye Comolli alikuja kusema kuwa yey alipigwa chini baada ya signing ya Henderson kufail, katika Daglish Era huwezi kuwalaumu FSG..na kama Daglish angemsikiliza Comolli, LFC isingekuwa hivi..Ikumbukwe Comolli, ndo alimleta LUIS SUAREZ, pale LFC.

2. Rodgers wakati anaanza kazi LFC, alipewa a Very limited budget, Coz FSG walikuwa wanaogopa kuingia risk ya hasara walioipata Kipind cha Daglish, na wakat Rodgers anakuwa appointed TC ndo ilikuwa katika mchakato wa kuanzishwa, ikumbukwe Rodgers alikuwa kagoma kufanya kazi chini ya DOF, ambapo ilikuwa awe ni Louis Van Gaal..Rodgers ni Brit', na ni kocha mwenye low profile katika ulimwengu wa soccer, na reason ya FSG kumuappoint BR coz walitaka waanze mwanzo kabisa, yaani LFC ianze upya, ndo maana wakaamua kumsign BR (from Swansea) ambaye hakuwa na jina kubwa, na kuwekeza kwa vijana wadogo ili wakue na club, kulilo kusig proven ambazo zote zilufail kipind cha Daglish, hence Policy ya FSG ya kusign Young GUNS ikawekwa, problem is, wakati hii policy inawekwa hatukuwa na Comolli tena, bali kina Fallows na Hunter, msimu wa kwanza Rodgers aliwasign kina Borini na Allen etc, kwenye dirisha la January TC ikiwasajili Cou na DS etc, ambapo Borini na Allen walikuwa ni dissapotment, na summer iliyofuata tukasajili kina Aspas, Migs, Luis Alberto etc baada ya mafanikio ya 2013/2014, FSG wakaachana na hiyo Policy ya kusign young GUNS tu, tatizo likaja katika kuattrack WC players, Rodgers hakuwa na pulling power yoyote, LFC ilikuwa na tatizo la kuattrack WC players, na hata kwa Young GUNS pia kulikuwa na tatizo la kuattrack top rated young guns..pamoja na Hela zote zile za usajili tukaishia kwa kina Balotelli, naomba niseme hapa, Policy ya FSG katika transfer, inabana sana katika WAGES, na siyo kwenyeTRANSFER FEES, unapoingia katika negotiations na LFC cha kwanza ni WAGES, demands zikiwa reasonable ndo wanaenda kwenye fees, but ukishindana na FSG kwenye Wages, hawatohangaika hata kupay Transfer fees, Policy yao imeegamia huko zaid, though at some point last summer ilikuw SHAKEN.


2.Unaposema kuwa kipindi cha Rodgers, FSG walikuwa wanaendesha LFC kama biashara, Well hakuna mtu anayewekeza sehemu isiyompa Faida, Henry na werner ni businessmen, usitegemee kuwa watakuwa wanafanya vitu bila faida, na kitu ambacho LFC fans tunashindwa kushukuru, ni kwamba FSG wameichukua LFC wakat inakaribia kufisilika, mwisho wa 'The Kop' na Club kwa ujumla ulikuwa unakalibia, wale The Kop walizingatia vingi mpaka kuwapa Team FSG despite na bidders kibao kutoka Uarabuni, coz FSG wapo kibiashara zaid, na ni rahis kuirudisha club katika hali nzuri, na unaona we mwenyewe despite na kumaliza out of top 4 mara kwa mara, bado Club ipo imara kiuchumi, bado clubs inapokea deals za pesa nyingi, club inazidi kupanua fanbase yake kila kukicha, hizi zote zinafanikiwa kwasababu ya business startegies za hawa Yanks, Man city, chelsea, PSG etc wana hela nyingi kuliko LFC, but ni rahisi kwa hizi clubs kufilisika kuliko LFC, Utd au Arsenal, coz zinaongozwa na watu wenye mtazamo wa kibiashara zaidi..walitoa £100m kwa Daglish, akafail, so ilikuwa ni lazma wasubirie kwanza kutoa kiasi kikubwa kingine cha hela..na walipo kuja kukitoa baada ya mauzo ya Suarez na hela nyingine kwa juu, ilitumika vipi?? hela ilikuwepo but Rodgers na Club walikuwa wanaweza kuwavutia WC players?? NO, so tukawa forced kuishia pale pale UK kw kina Lallana, Lovren Lambert etc, Hizo ni Rodger's signings

3. hakuna club duniani ambayo haiwekezi kwa Youngsters, hata chini ya Klopp, japokuwa atapewa hela nyingi sana Summer hii, hawez nunua wachezaji wa3-4 wenye range ya miaka 26-27, LFC ilikuwa inafail kuattrack hata wale Young rated players, mfano LFC under Rodgers isingeweza kuwasign kina Hazard, Oscar, Vietto, Dyabala etc na hata Rodgers angekuwepo sahiv asingweza kuwavutia kina Neves, Inak Williams, Grujic, Felipe Anderson, piotr, etc huyo Grujic, klopp himself had to call him..manake kulikuwa kuna InterMilan, chelsea etc..HAKUNA clubs duniani ambayo itasajili wachezaji 5-6 waliovuka miaka 25, hata kwa Klopp tegemea 2 PROVEN world Class players, na highly youngsters wengine wengi wa miaka 23 kushuka chini..

4. Ujue kusema Rodgers kafanya kazi chini ya modal iliyokuwa inam-bana ya FSG, huo uonevu kwa FSG, ninachojua mimi tangu Club yangu ianzishwe hatujawahi nunua mchezaji ambaye jina lake ni kubwa sana tayari zaid ya Morientes, kina Xabi, Masch, Torres, Kuyt, Agger, Hyppia, Suarez, Coutinho, Skrtel, Riise, Aurelio, Reina, Meireles, Garcia, etc wote hawa wamekuwa WC PLAYERS wakiwa LFC, LFC haina historia ya kununua World Club players..LAKINI ikumbukwe kuwa 2 most expensive signings za LFC zimefanyika chini ya FSG reign, Caroll for £35m na Benteke kwa £32m ambazo zote ni flops, na hakuna kocha aliyenufaika na hela za usajili pale LFC kama Rodgers (£300m+)..kina Benitez na Houllier walikuwa wanafanya kazi chini ya very Limited budget, hapo juu nilisema Policy ya FSG ilikuwa SHAKEN katika Wages, coz walikubali kumlipa Milner 150k per week, na Baada ya Suarez kutishia kuondoka wakawa wanamlipa 200k..hayo yote yamefanyika chini ya Rodgers...under Rodgers we signed Migs for £11m, Lovren for £20m, Lallana for £25m, Sakho for £18m, Benteke for £32m, Balotelli for £16m, Clyne for £15m, Moreno for £12m, Joe Allen for £15m, Borini for £12m, Iago Aspas for £7m, Markovic for £20m, Emre Can for £10m+ etc, haya yote yanaonyesha jinsi gani FSG walivyokuwa wanamback Rodgers, si Fergie wala Wenger ambao wamespend hela nyingi kuliko Rodgers katika usajili since 2012..so kusema Rodgers alikuwa anabanwa na FSG ni unfair kwa FSG, kufail kwa Rodgers katika transfer market siyo kosa la FSG Aisee..kuanzia 2014 karibia wachezaji wote aliowasajili Rodgers walikuwa ni above 24 na yeye mwenyewe Rodgers alikuwa anataka premier league proven players, na isitoshe Rodgers hakuwa na Pulling power na hapa mimi siwezi kumlaumu kwa kukosa WC players..katika kitabu chake, GERRARD anasema Rodgers alikuwa anamuomba SG kuongea na WC players ili waje LFC, mfano alioutoa SG ni Rodgers kumuomba aongee na Toni Kroos..(hapo inaonyesha hata Rodgers mwenyewe alikuwa anajua hana pulling power ya kuwaleta WC players pale LFC) kwa case kama hiyo huwezi walaumu FSG, Rodgers kabebwa sana na FSG kupitia kina Mike Gordon, kipind kile Fanbase na players wapo against na Rodgers, ni FSG tu bado walikuwa na imani nae, Rodgers kapigwa chini kwasababu ya business & football reasons, ingekuwa ndani ya uwezo wao FSG wasingemfukuza Rodgers..

5. Saga ya Tex, nadhani hakuna LFC fan ambaye hajui kuwa Klopp himself blocked ile move, FSG walikuwa tayari kulipa hela waliyokuwa wanaitaka SD, na isitoshe Tex alikuwa anataka 45k tu per week..a World Class Manager hawez kuja kwenye club ambayo anajua hawezi kupata support ya hela...FSG wanatoa sana hela ya usajili, but signings huwa ndiyo zinafail.

6. mara ya kwanza nilikuwa nawapinga sana FSG, (posts zangu zipo humu) FSG ni owners wazuri, but kinachowaangusha ni washauri wao wa masuala ya mpira, hii unaweza ukaiprove kwenye suala la Tickets, baada ya ile protest, jana wametoa statement, na kuweka kila kitu sawa..na wapo katika stadium expansion, pale imewekezwa zaid ya £150m..
 
We've signed Matip...(wembeee's and Klopp's player)...so no Laporte/Gimenez then..

i'd have Laporte over Matip, but since he's a Red already, natumaini ataniprove wrong..

C'MON MATIP #YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom