Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

baada ya kushindwana na Remy, Barret akasema jamaa alikuwa kaandaliwa jersey number 7, lol tukashukuru Mungu lile janga la Robbie keane halitojirudia...hahah msimu uliofata Milner akalamba jersey number 7, hahahahahaha, jersey iliyovaliwa na kina Keegan, Daglish, Liddell, McManaman, Diaz, ikaishia mikononi mwa JAMIEE MILNER....hahahha..
 
70's and 80's LFC wengi wao huwa wanasema Keegan/Daglish ndo LFC's best players to ever wear the Number 7 jersey, i respect Views zao, coz walikuwa wanawashuhudia week in, week out, tofauti na mimi ambaye nimetazama zaidi recorded games (memorable matches, moments, highlights etc)..pamoja na kina Carraghan..BUT kwangu mimi the best player to ever wear the number 7 shirt at LFC ni LUIS SUAREZ..
 
IF deal ya Gotze itafanikiwa, ningependa kuona, wanaswitch jersey na Gotze, Gotze achukue ile 11 na Firmino apewe number 7
 
Turkish reports zinasema fenerbach will bid pound mill 25 kwa mackovic..

I say take that money and run..
 
Kabla msim hujaanza nilisema with hendo milner in midfield we will be stuck in mediocrity for sooooo long...yani spend fans wanavopinga kulipa 77 but kwa sabab iyo aliosema jamaa hapo juu naona wana haki ya kupinga lol...barca fans wanalipa 25-30 to watch neymar suarez messi.... 77 to watch milner and hendo??? Lol
 
Hakuna mtu anayeninyima raha kila weekend kama mignolet bora ampange ward tu leo
 
Nilishawahi kusema hapa...Bobby is OUR new SUAREZ..

next season gonna be funny..
 
Hakuna mtu anayeninyima raha kila weekend kama mignolet bora ampange ward tu leo
Ward naskia hajasafiri na team..

lets wait and see though..manake leaks hakuna siku hizi..

Rumours ni Migs na Bogdan ndo wamesafiri na team..
 
Ward naskia hajasafiri na team..

lets wait and see though..manake leaks hakuna siku hizi..

Rumours ni Migs na Bogdan ndo wamesafiri na team..
@MosDes nenda kafungue ile video u mcheki mkuu wa sos
 
Oh noooooooo kuna mtu kafungwa huku duh jamaniiiiiii poleni aiseeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom