McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Naomba nitoe compliment kwa members wa jukwaa hili(Liverpool fans) frankly speaking mnaijua timu yenu kwa kina sio kua mmerukia kuipenda hata mijadala yenu wenyewe ukiacha sisi akina kivuruge tunaokuja kuwatania inajikita katika uhalisia mara nyingi najifunza kitu nikipita hapa kuhusu timu yenu ingawa nimeanza kufuatilia mpira muda mrefu ila kuna vitu vipya najifunzia jukwaa lenu keep it up wakuu football ina raha zake.