Bro hakuna mtu asiyejua kuwa tuna back-line mbovu, but tunastick na Mignolet kwasababu 80% ya magoal tunayofungwa ni kwasababu ya uzembe/errors/lack of concetration/kutojiamini kwa Mignolet.
na silly mistakes za Migs, huwa zinaaffect team nzima, hakuna hata mchezaji mmoja pale LFC anayemwamini Mignolet kwasasa, na kwa mantiki hiyo lazma kuwe na Tension katika team..ndo maana CMs na CBs wetu huwa wanafight mipira mingi isiingie/isifike katika eneo la Migs mara nyingi,ndiyo maana unaona team pinzani nyingi zinakuwa na shots on target chache zikicheza na sisi, but katika hizo shots chache tutafungwa, either kwa makosa ya Migs au lack of concetration ya Migs..kwa ufupi Mignolet ndiyo WEAK link kwenye back-line ya LFC.
Ward is 22, njia zote alizopitia Ward tangu achukuliwe na LFC, ndo walizopitia kina Hart, butland etc, hawa kina Hart wameanza kudakia team zao wakiwa kwenye range ya miaka ya Ward, its not about kuwa unproven kwenye league, but its about proving your abilities kama footballer, kwasababu hicho ndiyo unachotakiwa kukifanya..Pale Sunderland kina Mannone wanacheza kufa na kupona kwasababu wanapewa competition na mtoto mdogo Pickford, at this rate Ward yupo tayari kustep-up katika first team..na hata ikitokea Ward kafanya mistakes, nobody will blame him kwasababu ni young na bado ana mengi ya kuprove, but kwa Mignolet? jamaa ni experienced GK, yupo katika Top flight football kwa muda mrefu, huu ni msimu wake wa 4 pale LFC niambie unajivunia nini kwa Migs? na ndo keeper anayeongoza kwa errors ambazo zinasababisha magoli pale EPL..he should be dropped, hiyo dhana ya Unproven players huwa haina tija hasa kwa LFC, coz over the years tangu era ya Daglish tumekuwa tukinunua Premier league proven players, ambao ndiyo wamekuwa biggest FLOPS pale LFC (downing, Carrol, Adams, Konchesky, jose enrique, Cole, Mignolet, Bogdan, Lallana, Milner, Lambert, Benteke etc)..Ward antakiwa aanze mbele ya Migs mpaka May..Mignolet anafanya wenzake wacheze kwa Tension, Jana kama umeangalia games za Bournemouth Vs Arsenal na Chelsea Vs Utd, utakuwa unaona ni tofauti gani anayoileta Top GK kwenye team..
Hii picha hapa, inamuonyesha Henderson akitoa maelekezo kwa Mignolet, lakin Mignolet hata hamuangalii Henderson (it means hasikilizi kile anachoambiwa na Henderson)...asa hapo utawalaumu CBs??