Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
DEFOEEEEE!!!! What a goal
Aaaah, niache kwanza ndugu...weekend ishahribika..What's the average ticket price? How much does a season ticket cost? Hivi mbona Arsenal hawa protest ticket prices maana zao ndiyo balaa zaidi!
Duh timu yenu ni full of mediocre players inabidi mpitishe fagio la chumaAaaah, niache kwanza ndugu...weekend ishahribika..
hata kama bro, lakin makosa ya wazi kabisa ya Mignolet yanatuumiza sana..Duh timu yenu ni full of mediocre players inabidi mpitishe fagio la chuma
Goli la kwanza ni makosa ya Mignolet kwa 100% sijaelewa alikua anataka ku-clear vipi ile foul,Mignolet nasema mara lundo hastahili kuvaa jezi ya Liva ila ndio ivyo.hata kama bro, lakin makosa ya wazi kabisa ya Mignolet yanatuumiza sana..
jamaa katucost points 15 msimu huu..15 points man.Goli la kwanza ni makosa ya Mignolet kwa 100% sijaelewa alikua anataka ku-clear vipi ile foul,Mignolet nasema mara lundo hastahili kuvaa jezi ya Liva ila ndio ivyo.
Mignolet kapigiwa mashuti 19 on target, karuhusu mabao 12..hahahNi kawaida timu kucheza bila striker, ila naona nyie mmekuja kivingine kucheza bila golikipa.
nawaombea mshinde hiyo game, lol..hata draw itakuwa poa tu..Ngoja nipite tu Leo maana kesho
@kopfocus wanamlaumu GK coach eti hana uzoefu.Mignolet kapigiwa mashuti 19 on target, karuhusu mabao 12..hahah
analipwa 90k per week.
Siyo kwamba hana uzoefu bro, yule kocha ni m-bovu sana..ndiyo alimuharibu Reina, kuna GK coach alikuwepo kipind cha Benitez ndiyo alikuwa mzuri, lakin tangu aje huyo jamaa, makipa wote wanapotea..na kina Ayre wanamwacha tu, wamefukuzwa managers pale lakin yeye bado yupo tu..@kopfocus wanamlaumu GK coach eti hana uzoefu.